trillion thamani - inaumiza lyrics
verse 1:
k+mpenda asokupenda kujipendekeza inaumiza sana
k+mjali asokujali kujikwezakweza inachosha sana
muda mwingi umepiga simu inaita anaitazama
akipokea hataki lawama
meseji zake atatuma labda kukujibu na fupi fupi sana
huku mwenza umetuma kurasa
chorus:
tatizo umependa, umependa
kwake umebwaga moyo ooh
tatizo ulompenda ni pretender
ndomaana anaumiza moyo ooh
inaumiza, mapenzi ya upande mmoja bora nikwee mn+z+
inaumiza, kama washajilimbwasa baby niweke wazi
inaumiza, hutaki twende sawa umenizidi kasi
inaumiza, inaumiza moyo ooh
verse 2:
naomba mahakama itungiwe sheria
kuhusu kutendana kudhurumu hisia
mwanzoni mlipenda mkakubaliana
mbeleni mnazozana kwa yasiyo na maana
usisemе hamjaendana
maana mwanzo mlishibana
ungesema kisa pеsa huna
ila mbona unahudumia vema oh
chorus:
tatizo umependa, umependa
kwake umebwaga moyo ooh
tatizo ulompenda ni pretender
ndomaana anaumiza moyo ooh
inaumiza, mapenzi ya upande mmoja bora nikwee mn+z+
inaumiza, kama washajilimbwasa baby niweke wazi
inaumiza, hutaki twende sawa umenizidi kasi
inaumiza, inaumiza moyo ooh
Random Lyrics
- andré barretto - de ficada pra ciúme lyrics
- aoa - 모야 (moya) romanized lyrics
- treapy - chatter lyrics
- narnar - luvv_driver lyrics
- lil ki from jerome - father forgive me lyrics
- đức tuấn - chiếc áo bà ba lyrics
- jojo siwa - yesterday's tomorrow's today lyrics
- c4r50nn - invasion lyrics
- orange (band) - happening today lyrics
- bub8les - last breath for a final chance with lyrics lyrics