trindady yox - nakuamini lyrics
nakuamini lyrics
[pre+chorus]
nakuamini unaniamini
ndomana bado uko na mimi
ata siamini jinsi ulivyo pini
nichepuke kwako nimekosa nini
[chorus]
njo mpenzi njo
njo chumbani mpenzi nipo alone
njo mpenzi njo
hisia zangu ushazi’control
[verse 1]
sio tena siri kila mtu anajua me niko na wewe
siwezi kuwa mwenyewe
nakupenda kweli maa nataka uelewe
najiona mimi tu
nakuona wewe tu
so, just me and you
vile tumetoka mbali
maisha ni safari
naomba tufike mbali
i keep it real kuhusu upendo maa ata usijali
nakuimbia taratibu nakuimbia
nina maneno me nataka kukwambia
unanipenda nami nakupenda pia
usicheze na moyo w+ngu me ntaumia
[pre+chorus]
nakuamini unaniamini
ndomana bado uko na mimi
ata siamini jinsi ulivyo pini
nichepuke kwako nimekosa nini
[chorus]
njo mpenzi njo
njo chumbani mpenzi nipo alone
njo mpenzi njo
hisia zangu ushazi’control
[verse 2]
kwako sioni sisikii kama juma
ukiniona kwa tv na slay queen usijеnuna
mwanamke wa ndoto zangu na malengo
umenitеka kwa tabia na mwenendo
sura pia na uo mjengo
na kwako sitoki
hii safari sichoki
njo tushinde ndani nje nahisi kuna covid
niko jela ya mapenzi sitoroki bila scofield
na vile tunapenda
vile tunaendana
hawapendi ukiwa me
simaanishi mapenzi pesa j+po sijakupata free
we ndo w+ngu mamie
vile umeniweza sina plan b
[pre+chorus]
nakuamini unaniamini
ndomana bado uko na mimi
ata siamini jinsi ulivyo pini
nichepuke kwako nimekosa nini
[chorus]
njo mpenzi njo
njo chumbani mpenzi nipo alone
njo mpenzi njo
hisia zangu ushazi’control
Random Lyrics
- friendzone (edm) & parker - read your mind lyrics
- m.u.n. zay - way too many lyrics
- gabrielle ornate - spirit of the times lyrics
- over it - caught up in a rundown lyrics
- shittyboyz - soul bleed lyrics
- coyote jo bastard - booska cnlpg lyrics
- vishisdead - fall lyrics
- ybre - von oben lyrics
- ava max - ava max - come home lyrics
- big mali - no cap lyrics