trio mio - buda lyrics
[intro: trio mio]
form, manze si utuite sherehe
leo tupige kelele raha unajipa mwenyewe
si unichome uko na ndom
tukiwashe tupepee
tukate maji tulewee
we bazu cheza kama wewe
grrrt! ahaaa
(stray music)
[chorus: trio mio]
buda buda buda buda
smamisha iyo kitu, ama nikushow vile chuma inashuta
usifanye nikutume+tenje walenje mkwanja ndula
tupa!
alafu nyamazisha huyo msupa
mi nikinyambisha katanuka
naeza kalilisha juu ya pupa
buda!
smamisha iyo kitu, ama nikushow vile chuma inashuta
usifanye nikutume+tenje walenje mkwanja ndula..
tupa!
alafu nyamazisha huyo msupa
mi nikinyambisha katanuka
naeza kalilisha juu ya pupa
[verse 1: trio mio]
buda..
show mshi wa kwako afyate, ukitry kuwa hero utashtuka!
manduru akazipige kwa kitanda, right ya kilo itamkuta + gbv
unadhani hizi ni vipindi za tv g?
w+ngapi wako six feet deep juu ya kuthink wako quick
wrong move naku+cl!ck cl!ck bing!
usijifanyе champee, niko na fee…
mjanjez, sema tu ng’wee
buda wee si jackie chan, bado wee ni kijana nataka ukuwе mzee+
mf+ko uko na shigana? zitoe zote inje teke
bazenga mzima uko na finje pekee?
na tenje ni kabambe, unataka nikushande ya bure na nifinye senke?
wee ni bombo nini?
umesunda maziwa na piwa ndakupee za ubongo mbili
alafu haka kadem kataliwa kalazwe kwa udongo chini
sisi ndo madogo mjini, lazma utiii
kusanya masonko weekly, baridi kwa mgongo + mpini
rada ni mzing?
[verse 2: scar mkadinali]
for real..
broski k!ll hiyo pressure
kwa hii sh+t si ni maprofessor
hawabebi cash siku hizi mwambie akupee pin ya mpesa
oh yes nimeshajitepa, smile kwa face unaassume nacheka
siku hizi hatuchapani ngeta, i’m reckless naeza tumia seska
yo leta hiyo phone buda leta hiyo goro
ndula socks na naenda na mroro
atalia gosh akiona hiyo koro
anaanza na b+lls akinyonya hiyo +++
boss of course hiyo rende ni wrong
utakula dust before ulete usoo
ntadedi na itoks ama niende na mob
before niende job lazma nibonge na god
gai si we ni scar miuskiza ngoma zako many times
b+tch nyamaza nyenyenye must ntak+mada ata kama wee ni fan
mwili tunawacha hapa jeri sai
siwezi rudi jela any time
(gunshots) kwaheri fam
f+ck tunamjua huyu ni jerry, gai!
[chorus: trio mio]
buda!
smamisha iyo kitu, ama nikushow vile chuma inashuta
usifanye nikutume+tenje walenje mkwanja ndula..
tupa!
alafu nyamazisha huyo msupa
mi nikinyambisha katanuka
naeza kalilisha juu ya pupa
Random Lyrics
- anthem - sleepless night lyrics
- bdr!ppyy - hakuna matata lyrics
- alamay & omar cassius - mutual hues lyrics
- dunsin oyekan - people of his presence lyrics
- dillanm - going off lyrics
- nesia - swift runna lyrics
- kara's flowers - stable lyrics
- dogue wize - anel de ouro lyrics
- rehab - them that matter don’t mind lyrics
- the hell (uk) - nuts and bolts lyrics