ty flexx - guns and roses lyrics
(intro)
hii si ya tano nane 107 ,107 to the world baby
uh
wee ,ndo unafanya na ficha white
nikiwa na wewee nina future bright
come on baby be my wife
tutokee ii dunia twende mars
hata waseme me ni chizi
kosa pesa nitakuwa mwizi
ndio ni we na wewe ikibidi
naomba basi upunguze speedi
baby, baby boo ni mapenzi tu
hakuna mwingine maishani ni wewe tu
mamasita uspanic love yanguu ni ya guns, and roses
uh
mamasita uspanic love yanguu ni ya guns and roses
uh
wee, ndo unafanya na ficha white
nikiwa na wewe nina future bright
come on baby be my wife
tutokee ii dunia twende mars
hata waseme me ni chizi
kosa pesa nitakuwa mwizi
ndio ni we na we ikibidi
naomba basi upunguze speedi
i remember first day nilikuona
looking so good in denim na ma fosa
kiasi ukaanza kuni cheki
naanza ku ignore nisi brash juu wee ni keki
nilidhani me ni gansta ona moyo w+ngu uko tu
tingritingri
then uka smile back mara moja nikapata sike
i swear this is, love at first sight
uh
i swear this is, love at first sight
uh
wee, ndo unafanya na ficha white
nikiwa na wewe nina future bright
come on baby be my wife
tutokee ii dunia twende mars
chorus)
wee ,ndo unafanya na ficha whiiiiite
nikiwa na wewee, nina future briiiiight
come on baby,be my wiiiife
tutokee ii dunia ,twende maaaars
Random Lyrics
- separator [s] - always lyrics
- sa!koro - epoc lyrics
- playboi carti - check please (version 1) lyrics
- showbiz school - ночью или днём (snippet 23.06.23) lyrics
- loose meat - daisy chain lyrics
- delroy wilson - so long baby lyrics
- jake gee - fvck swag (ft shaggytheairhead) lyrics
- korea cracker (크래커) - mmm lyrics
- expansão camaquã - salmos 91 lyrics
- akoge - acog lyrics