ukoo flani mau mau - mazishi ya polisi lyrics
[intro: zakah and kamaa]
chiz’n brain… ndani ya beat (ahaa.. ahaa..)
extortion… zakah, kamaa… mau (ahaa.. ahaa..)
ukoo flani
1,2 explosion (ahaa.. ahaa..)
uk+ double+o mau mau
uk+ double+o mau mau
[hook: zakah]
hata walete wizi kwa kazi, tunawaandalia teachings mezani
tangu enzi za nyatiti, zamani, wanajua sisi ni nani
sikufichi utadhani ni mazishi ya polisi mitaani
ni mazishi ya polisi mitaani
[verse 1: kamaa]
…ya polisi mitaani
tangu era za kamjesh mpaka era za chavez
mwiraria anasema hakuna dooh
yote ilimalizwa na moi na kamlesh
michuki anasema mishipi tu+fasten
si unajua si huwa hatuzihitaji, si hu+fly na ma+carpet
tuki+hustle ma+cd na ma+cassette
the bigger the debt, tuliambiwa na krs, the bigger the budget
[verse 2: zakah]
yes rasta!
tufunze ghetto manifesto (sellasie!)
harufu ya tension, kunuke jasho
venye na+struggle
sabuni ya bar soap, nguo za donors
bado utaniona gari za first class
maliza njaa fast, punguza ulcers
miili na plastеrs
[hook: zakah]
hata walete wizi kwa kazi, tunawaandalia teachings mеzani
tangu enzi za nyatiti, zamani, wanajua sisi ni nani
sikufichi utadhani ni mazishi ya polisi…
[verse 3: kamaa]
who got what, mau camp got sending you back to the 50’s
uta+resist ama uta+collaborate na british?
“twisty” na akina daudi kabaka in the 60’s
ina+go way back before wanaume wakuwe mabinti
na wanajidai ma+soldier saa na ya vita watakupita
watakukana mara tatu jogoo ikiwika
mjinga hufundisha simba kuwinda
mjinga huudhika na maandishi naandika
ye huwa anatambulika akiwa amejificha kwa giza
simama kama pyramid, usi+lean ka tower ya pisa
hawa si ma+mc, hawa ni maseki
lyrics zao ni minutes za event tuli+dictate, wana+imitate
nikazaliwa ’78, kenya ikagongwa na earthquake
si concidence ku+nickname+iwa githingithia ’98
[verse 4: zakah]
inshallah kuwa focused
as far as squad wametoka
kila kibanda huw+nga imechoka
kila kijana huw+nga amekonda
kila mtaa huw+nga na informer
bila zakah hakunanga importances sanaa kwenye posters
hutanikosa kwa concerts zile conscious
tupwa cemetery na mistari legendary, tembe kali
(ah… ah… wacha, wacha, wacha…)
yeah yeah!
[hook: zakah]
hata walete wizi kwa kazi, tunawaandalia teachings mezani
tangu enzi za nyatiti, zamani, wanajua sisi ni nani
sikufichi utadhani ni mazishi ya polisi mitaani
ni mazishi ya polisi mitaani
hata walete wizi kwa kazi, tunawaandalia teachings mezani
tangu enzi za nyatiti, zamani, wanajua sisi ni nani
sikufichi utadhani ni mazishi ya polisi mitaani
ni mazishi ya …
ni mazishi ya …
ni mazishi ya …
ni mazish+ ni mazishi ya polisi mitaani…
[outro]
chiz’n brain… ndani ya beat (ahaa.. ahaa..)
extortion… zakah, kamaa…
Random Lyrics
- llvx - wash lyrics
- dillxn - из-за тебя (because of you) lyrics
- the violent youth - снег (snow) lyrics
- the directive (va) - games you play lyrics
- krado - can't stop lyrics
- 60mes - paroxysme lyrics
- amythyst kiah - love will tear us apart lyrics
- minuit machine - danger lyrics
- karla x monoir - lonely lyrics
- joni mitchell - the circle game (folklore, what fm: philadelphia, 03/12/1967) lyrics