ukoo flani mau mau - punchline kibao lyrics
[hook: ukoo flani mau mau members, shouting]
tunawapiga bao, tumejihami na ma-punchline kibao
kikosi cha mizinga ukoo mau mau
tunawaharibia kwenye maviwanja zao
(mau mau!)
[verse 1: ibra da hustler]
ni ibra da hustler, hustler da ibra
mashtaka mashtiba, niko tight kama bik’ra
ibra anatema fikra kama elimu ya iqra
da hustler amepinda most wanted kama ajira
5″ tall dark n-gg-
cheki taswira: ka ulikuwa huna habari hii game nimei-marry
jemedari kama mula omari
natema mistari kasi kama risasi, muasi naasi
niko underground kama marks mwadui, ras hunijui
naweza kuwa rafiki pia naweza kuwa adui
mi ni full mrui
natoka nilipotoka mbali
mkatae mkubali, mi mc mkali
wanatambua kila mahali
naharibu sijali, naharibia hata serikali, kwani kitu gani?
naishi kwenye ulimwengu wa generali, naongozwa na real, sio madridi
hali inayonifanya kuwa gaidi
na bado nafaidi; niko full ka fidi
force kikosi; kwenye rap na-boss (click-clack)
nisosi wagosi wanaozindua kaya
kwenye hii sanaa wanaojiuza kama malaya, motherf-cker! (gun blast)
ibra da hustler! (spits)
[hook: johnny vigeti, singing]
tunawapiga bao, tumejihami na ma-punchline kibao
kikosi cha mizinga ukoo mau mau
tunawaharibia kwenye maviwanja zao (mau mau!) x2
(guns blasting)
[verse 2: ?]
i drop flow like canibus, is this can-i-bus? just like a bus
lose trust, bust your jaw
it’s y’all loss; who be the boss?
tossing a lyricall floss, causing earth to be flossing
a portion- approach with caution, pausing
extortion fast like the ocean, i stay proposing
my first notion is… game erosion, first verse explosion
fakes pausing, hoes are exposing
we all lost the chosen one, the prodigal son
worry ’bout the gun; how is goes and how it comes
money ain’t funny- streets is hard, cold and dark
that’s why i spark from the heart part
don’t give a f-ck about the chart!
from the start, in the neighbourhood dogs bark;
bite victims in car parks in broad daylight put up a fight
try to pull out a knife, lose your life- think twice, aight?
your soul is the price, like a game of dice, cold as ice
red, black or white
red eyes with blood sight;
i still write, whether i’m wrong or right
take flights to reach higher heights
we get high to get by
struggle to make it, so we hustle and take it
barely making ends meet; and it’s unfortunate
forcing it to be what we want it to be
the ultimate destiny for infinity, life or death to me
i gotta p-ss- make it fast, hiv in a fat -ss, n-gg-
car accident, my n-gg-s in a fat gas
i had beef;
last thing i heard was the blast… of the eagle
not a bird, not a word on the streets
the end of the world
king of…
[verse 3: johnny vigeti]
…lakini siskii kitu…
yah, niko na home nyingi kushinda ma-boys wa mike rabar
in fact nishakuwa mkimbizi na john ndio naitw-nga
sa si inafaa unipatie hivi ma-chords na mic saba
kwa kuleta hali ya taharuki
toka nduki ka mpangaji mwisho wa mwezi landlord akidai mkwanja
hata kabla nibishe mlango kubabaikanga
wakauche a.k.a sub zero (mmh!)
wamefreeze joto, wanadai f’lana
temperature zimepita za huko mombasa na mbali sana
zinedine zidane, starting line up ya real madrid na hiyo inamaanisha huku hutoboi kudai number
plus striker wao ashachoka, ako hoi anadai sub- ha!
ni mambo na ku-mark territory, kwa hivyo ma-doggy za mitaa zingine hazikojoi mitaani hapa
kuifanya iwe ngumu kwa huyu jamaa wa yoh-yoh ku-buy manga
kunimwagia unga ili kuona unga ya jogoo ikimwagikanga
saa zingine hata bluu ya madondo sijaipata
one-chwani ya taros kwa ile noma nishaihata
situation ukuta nyuma ya mgongo, kashaivana;
in the process, i can’t take it no more, nadai kamba
tishia kuji-hang hivi…
ama ku-threaten kujirusha kutoka kwa building kama kicc akili zipasuke kwa floor ni-die fasta
juu ma-hater wakisikia hivyo watafurahi sana
wa-smile kushinda yule jamaa anakuw-nga kwa promo ya chai jaba
buda hivi flani ni-time kwa socks utawahi ganja
alafu tukishajibonga fresh ndio lo! wataitana
(kwisha)
[hook: johnny vigeti, singing]
tunawapiga bao, tumejihami na ma-punchline kibao
kikosi cha mizinga ukoo mau mau
tunawaharibia kwenye maviwanja zao
(mau mau!) x2
[outro: johnny vigeti]
(laughs) ama? back up, nini?
Random Lyrics
- louis tomlinson - just hold on (feat. steve aoki) lyrics
- rita sugiarto - sesal lyrics
- tivoli - veneno por prazer lyrics
- noble da genius - coach potatoe freestyle lyrics
- fatih kısaparmak - mor salkımlı sokak lyrics
- kendra arsadjaja - keep on believing lyrics
- colin alexander feat. mmoozz - goud lyrics
- 陳傑瑞 - 愛一百萬次 lyrics
- sleep talk - indio, california lyrics
- bobby bazini - never let go lyrics