azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

unit 1678 (cafu da truth x cosy the main man) - the kovu tutorial lyrics

Loading...

intro (cafu da truth) : cafu da truth…. cosy the main man… hii ndio tutorial

verse 1 (cafu) :
kila mtu anaeza piga mouthing buda
ni ule kijana fupi nono round b-ss chunga
mmekuja vita na fangs u dumb putas, beat mmeshindwa ku nail na mad kuchas
jifanya mad rulers, na pia ni sound ruder, madem unahit kwetu ni mad cougars, tukishaingia session ya shash ku burn nyumba
rende wronger na kisu itabidi maguns chuja, fam chunga
chinja beat ya kovu acha damu pads funga, carl tundo the flash niko so glad kuja, time nyi mnakuja na machine gun rap turn shooters
crazier shinda mad munga, the kid, si ndio tulifanya ma vet wasound ka the next mac muga, na still, niliambiwa booth niingie na inhaler forget cafu ni half human, kiswahili, mingi shinda pastor kiunas
set sk!ll, but hatutaimba, bills first, midget ni hybrid ya conan na sinbad, tumeingia kwa den kugongana na simba, cheza mbali na jeshi ya filter, kwa background zzero anasema zimeshika, pigwa nne sufuri na unajidai reigning champion wa fifa, spill blood
same way kids kwa rap wanasaka sifa, ni sad, popeyes zao ata hawaezi kata spinach, ata hamna guts kudandia beat na verse mmejaza fillers, bar for bar hadi lack sp-ce ya kupata bigup
kileta izo line za pickup, ni blows apa kosa meno, industry pigwa stickup, unit iko whole other level
ambia wajinga, zoza global after tushazoza nation, mabingwa
zako chocha bars za majoker, holdup, boychild potoka
thats why ata after episode za got kutoka, hamjanotice arya ndio alimada night king mlikua juu ya ma night walker
kujifanya hood na kazi mliekelea ni white collar, ogopa
design na shuffle tadhani tuko poker, so focussed, kuna rappers wataokoka, kovu imevalishwa koti itabidi mpigie the owner
na mtafute lawfirms, under the belt ka kukanyagwa na timber ka umedunga loafers, its over, makosa yako ni kukaribia pori kutry kunimanga nangos, ni torture, rongest rende -sskissing kando
kosa ku b-mp on, hii heat ka uko part ya jeshi humangana matako
na hakuna msee anaeza ni battle, mngeacha tu ibaki freestyle sniff line moja apo, ni ma pool stick design ya narcos, bare knuckles, sijawai rank f-ggots
na ka mnadai.. chorus ndio hii… sijawai rank f-ggots..,sijawai rank f-ggots…

verse 2 (cosy):

sijawai rank f-ggots.. (never)

nimekam kushow the way kwa hii beat ya kovu
ma rapper wanafuata ka njia ya wokovu
chapia hio rende wako wrong si ndio the rong rende
nilifanya kaka akadai rende tugende, buda me ni star
vako nawacha beat ya mkadinali na scar
hapa hakuna challenge, nafeel ni ka nina spurr
moto umewasha jo n-z-ma, plus yenye nyash aliwasha 03
ka ni battle nakuchapa 0-3, lazima kieleweke
mziki kw-ngu p-ssion, though fashion k!ller, sidungagi kila fashion
stick to your lane buda cheza wing yako, me ni ulimwengu sio vako
kukufunza vitu hukufunzwa na mamako
wacha ikue lesson, naget attention kama maandishi ya leso
na hii ndio meso, haswa kwa mafala wanajichocha
mko na mchezo sana simnajua me ndio kocha
wako na mandovu na cosy me ndio poacher
no wonder nawatuma kama mpesa ocha
niite samson vako jo nakata pillar, watumwa, vako jo wanakataa mila, young n-gg- be humble, tumechoka sana na ma rapper wana mumble
pata mambo, ukijiita mkali nakudiss tena
ati og na hujawai shoot hata pena
niko kwa rap game hadi nifike finje
no wonder nikibonga hawahusiki wako nje!



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...