urban byte - bure kabisa lyrics
[intro]
piga pose yoh eh
urban byte this sh+t crazy
[chorus]
bure kabisa bure kabisa
bure kabisa bure kabisa
bure kabisa bure kabisa
bure kabisa bure kabisa
[verse 1] + urban byte
bure kabisa natamatisha tunachoma kama baridi ya freezer
acha kulia ati ukona fever na ni nyasi tu umejaza kwa kichwa
acha kuchoma picha mi ntakushow ukweli sitaficha
unaringa ati unakulanga pizza na jana ulikuwa mutura na kagiza
[verse 2] + urban byte
ulifika juzi tena unadai
vitu mob sana bana adi zingine hazifai
kichwa yako ni kipara inakaa tu mayai
uko hapo na dem yako anakunywiwa kama chai
[verse 3] + urban byte
usichochane uko famous
ati oh buda yangu anaendeshanga mercedes
utadhani kajamaa kakona ladies
lakini k+mbe kanakuw+nga solo na arimis
[verse 4] + urban byte
cheza chini buda boss tulia upangwe
kama ni izo mabarе chunga usizabwe
ukimtaka muendee usishinde apo umеmeza mate
na akiringa achana na stori zake
[chorus]
bure kabisa bure kabisa
bure kabisa bure kabisa
bure kabisa bure kabisa
bure kabisa bure kabisa
[verse1]+ teebeeyes
nakucheki ukidai kunishow
we ni pro tunajua una low libido
we ni bure afadhali adi choo
juu tunakutambua bado we ni vajo
[verse 2] + teebeeyes
nakucheki kila corner bila shaka nakuona
kazi yako ni kukula kutafuna na kunona
ata ukibonda nakupita kama honda
kama piki piki ponki basi utasonga
[verse 3] + teebeeyes
leo tunabonga
leta shada zako ama mi ntakuroga
tunacheza soga ama soccer
geuka nikubeng hio bompa
[verse4] + teebeyes
bure kabisa nimekamilisha
tukiwasilisha tushatamatisha
sha sha sha shash itisha
ishaisha ishaji
piga pose wacha nikushow
[chorus]
bure kabisa bure kabisa
bure kabisa bure kabisa
bure kabisa bure kabisa
bure kabisa bure kabisa
[chorus]
bure kabisa bure kabisa
bure kabisa bure kabisa
bure kabisa bure kabisa
bure kabisa bure kabisa
Random Lyrics