vdj jones - kizunguzungu (dui dui) lyrics
na rapper anataka hapa ngale washa ingine
mbili mbili na ako na tu madiudiu
na rapper anataka hapa ngale washa ingine
mbili mbili na ako na tu madiudiu
(mavo on the beat)
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu naskia tu kizunguzungu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu
the dipper i go (dip dip dip)
the louder man nduru kuskika (uwii uwiii)
ring’ang’ore ivocheti (ring’ang’ore, ring’ang’ore)
nazamisha bojong’o upesi upesi
na bado ukininyima itakuwa kesi
na aki diudiu nakapiga machobo kama messi
na atajua ni genje ni mbwaya
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu naskia tu kizunguzungu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu naskia tu kizunguzungu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu
huskii nafeel ni kama unaniingiza
najua unataka vako za ki+diva
i’m so local sina hata visa
niko so formal naona tu giza
acha tuthie tu poa bila drama
hizo maneno bana unajifanya
hata vile unakohoa unanichanganya
ama ni madoh doh ndo sijamwaga
acha kiki kizunu mingi mum
kam ukuwe bibi nkikuwe your only man
heshima nimetembeza saizi nimechoka man
naeza kuweka main bana uwache kuwa fan
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu naskia tu kizunguzungu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu naskia tu kizunguzungu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu
ni bidii mtu yangu sikuhit ki mungumungu
shoutout to my haters bado wana machungu chungu
nina mpango wa kando ye hupеndaga manginyo
mi hugonga na finyo anaskia kwa tumbo kama minyoo
namthigitha hadi nyau inasikia thithi
alafu anafurahi kama kimbo
mutaratara alafu tunabanju to the limbo
cheki mali kwa shingo goro zangu si imbo
si gengеtone ni kigoco alafu nakunyuria kithotono
nakujenga na sikufiki bana mi nakupeel
naskia tu kizungu zungu
mama wa kw+ngu hupenda ndizi mi humuitanga nugu nugu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu naskia tu kizunguzungu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu naskia tu kizunguzungu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu
ukipatana na mi ndugu usijishuku
kizungu nyingi ya mbulu nabonganga tu kizungu
alijifanya mtamu nikakuja na mapuru, mabuyu
njugu plus rungu sai anapiga nduru, ulizia nani guru
doni, buruburu wananibebanga juu juu
kizungu zungu ndo naskia juu ya hizo nusu nusu
kichwa merry go round kama gurudumu
joto ndo nafeel kama basi ya kisumu
toa njumu wakikuta unawapasha kama wajukuu
nikishika mic ni tight kama nugu na miti
nilitoa nyoka pangoni nikaipea sumu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu naskia tu kizunguzungu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu naskia tu kizunguzungu
diudiu ah kizunguzungu
madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu
now you know
wameshikwa na kizungu zungu men
wanatufuata ila hawatuoni
mavo on the beat nice meeting you homie
si unajua genje ni mbwaya
Random Lyrics
- urvn - zjebałem skit lyrics
- j. rouh - kodnu lyrics
- junger broh - september lyrics
- dl one direction - everything in between lyrics
- buny - 412 lyrics
- farrell and farrell - to know that i'm loved by you lyrics
- vera nešić - ti si mi srce slomio lyrics
- juggfella54 - mercedes lyrics
- maniek - do you? lyrics
- tridi - viles lyrics