vdj jones - selekta lyrics
shukisha bana nayo nayo bana selekta
chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
cheza na rada cheza na rada ya warembo
selekta selekta cheza na hio tempo
shukisha bana nayo nayo bana selekta
chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
cheza na rada cheza na rada ya warembo
selekta selekta cheza na hio tempo
[scar mkadinali]
oya selekta pandisha hio debe
alafu upewe senetor
msupa nilimpoteza akahata hio semester
na sina pesa ama ni vile mi nahemesha
napiganisha kwa mrenga mi nikikereka
uliza ni nani mi si ovyo ovyo
kamkadi bangi nipate madogogio
ikibidi mi naendea mkopo
chunga bibi usije ukanilelea mtoto
nairobi walinikanya niwache kutumia
wasupa wa watu ma emoji za biringanya
na pori imejaa wanyama hio ndo reason
utapata kwa ngozi nimejaa ma alama
weka irori bro ka unadai kuroria
nina mamorio na mangwai kwa gunia
yako ni maoni jo i’m sorry siwezi umia
huvaangi kondiko kwani huogopi gonorrhea
shukisha bana nayo nayo bana selekta
chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
cheza na rada cheza na rada ya warembo
selekta selekta cheza na hio tempo
shukisha bana nayo nayo bana selekta
chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
cheza na rada cheza na rada ya warembo
selekta selekta cheza na hio tempo
[angry panda]
usingizi ni mingi nitalala nikiomoka
mistari na waroro kuwaroga nikisonga
nimeshika mic simama anza kuzitoka
na selekta apatiwe chupa kwa bill yangu
angusha tingisha baby napenda ukiwhine
miracle nimefanya ni kufanya ukuwe mine
kwa makali kidogo sikuwagi nimerely
nani alikuzama ma ma oh my
wamelipia hawafai bana kuteta
kwenye maumbo wako sawa na hio tempo
usiguze waya utaharibu mambo, chuu
back on top tunawakanyagia siku hizi tuko on top
chukua ni kama umeserve+iwa kwa table on top
me love it when you whine whine, you don’t stop
shukisha bana nayo nayo bana selekta
chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
cheza na rada cheza na rada ya warembo
selekta selekta cheza na hio tempo
shukisha bana nayo nayo bana selekta
chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
cheza na rada cheza na rada ya warembo
selekta selekta cheza na hio tempo
++++++++
jeshi jinga
++++++
shukisha bana nayo nayo bana selekta
chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
cheza na rada cheza na rada ya warembo
selekta selekta cheza na hio tempo
shukisha bana nayo nayo bana selekta
chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
cheza na rada cheza na rada ya warembo
selekta selekta cheza na hio tempo
+++
Random Lyrics
- hi-c - house of the dead (demon wave) lyrics
- gavin krunk - rollercoaster lyrics
- лигалайз (ligalize) - первый отряд (first squad) lyrics
- martin garrix - animals (grum remix) lyrics
- young daresalama - nimeachwa lyrics
- ángel strife - la faca (english versión) lyrics
- withered hand - still quiet voice lyrics
- madi serket - abuse lyrics
- the national - slow show (live at berkeley 9/24/18) lyrics
- darassa - boss it lyrics