volvoh - salama lyrics
volvoh for jc…..
kreptonate production…
niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee
hata nikikosa dira unanionyesha eeenh
kwako nitakimbilia ntajificha eeenh
hata nikikosa dira unanionyesha eeenh
kwako nitakimbilia ntajificha eeenh
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshe
iwe shubiri asali, kwako tu ninsherehe
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshee
umenishow ni si worry mana siko pekee
niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee
wengine wakichiti
kwako niko fiti
nikusifu na mziki, nisijali za makiki
hata mziki uje uhiti
na kibiri kisizidi
nik+mbushe zangu dhiki
kwako nisipotee
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshe
iwe shubiri asali kwako tu ninsherehe
iwe noma iwe shwari
liwake jua inyeshee
umenishow ni si worry mana siko pekee
niko sawa salama na we..
niko sawa salama na we ..
niko sawa na wee
salama na wee
niko sawa na wee
salama na wee
Random Lyrics
- semino rossi & helene fischer - you raise me up lyrics
- trail west - macpherson's rant lyrics
- hxgxnx - apollyon class object lyrics
- banda calypso - choro por você (ao vivo em são paulo) lyrics
- katseye - gnarly (dance break) lyrics
- simonisarapper - let man dream lyrics
- suffervillain - любитьтактупо lyrics
- k. gates - breathe lyrics
- tosaku - yandere lyrics
- yameado europe - viva la musica! lyrics