azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

vanessa mdee – niroge lyrics

Loading...

raha ya nyumba mwanaume
wacha nikutunze
nyumba yetu tuipambee
hapo nyuma tulishindiaga mabwende, karanga na makande
ugali dona sembe
usinune kwa maneno ya majirani wanoko hawaishi longo longo
ni maneno kam viroboto wanakesha wakiomba unichapage mkong’oto
jamanii cielew
bay yur
ukimuona furaha tele moyoni
nkimuona tabasamu usoni 2
naomba mniroge naomba mniroge kwan mapenz matamu 2
sikusifii we mwanaume nguzo
ulishndaga vikwazo tngu mwanzoo
ulipambna na wenye nazoo
ili niwe mali yko
leo kula vykooo
ur ma dreams in ma lyf hata me moyoni we ndo unanifaa

to de left



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...