azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wacca - pull up lyrics

Loading...

chorus

nikipiga kichwa kagere… waya yayaaah
w-nga wanaonaga gere
mwenye kucha kashapata upele
wacha nikapige tu misele

every body pull up x3
ayaaah
jump x5

verse 1 (wacca)

bado sijawaka
mbona kama nimezama chaka
check wanavo kata
rasta….
mangi leta starter ni update status
nimekaa kinyonge sana shusha bapa
kuna vikongwe, kuna vibonge
kuna wadada wanakata usiombe
haiwezekani mtambe
tuonekane wapambe
kwani gambe shi’ng ngapi aisee isiwe kinyonge
misambwanda tingilii
kichwa vibe chingilii
watoto wadogo shika adabu hizi show dingilii
shobo hatuzif-girii
story hatuzifatilii
ivi we ni nani vile nik-mbushe aisee
mitetemo ladha adimu kiuno shanga
jicho linanipa wazimu ushaniroga
mtoto kiuno kama ni ndimu kwenye mboga
umeshanipanisha stim sina uwoga..

chorus
nikipiga kichwa kagere… waya yayaaah
w-nga wanaonaga gere
mwenye kucha kashapata upele
wacha nikapige tu misele

every body pull up x3
ayaaah
jump x5

verse 2 (wacca)

shape inaita is that me?
check anavo ramba ndizi nyani
binadamu wabaya baniani
tena kwa mashemu sina imani
ndomana sipokei simu
sipotei gym
unavonipa stim
nahisi kama dream
afu check mtoto pini
katoboa pua
anavo slay queen
mabishoo anauwa

bridge (kona)

she says she loves me
like how i do it… oh nana
she like they way i do it
all night ayee
mash up the dance floor..oh yee ya x4



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...