azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wachuja nafaka - dhiki lyrics

Loading...

wachuja nafaka + dhiki lyrics

[verse 1: dollo]
mwenyezi mungu pokea yetu hii
tupige magoti, tusali, tusamehe makosa yetu
utuombee kwako’ sasa na saa ya kufa kwetu
tubarikie ajira’ kupitia kwa mizimu ya babu zetu
ambapo tukishafanyika’ baki wazazi wetu
[?] ridhiki zetu
vipaji vyetu tunavyo’ lakini havitumiki ipasavyo
hivi hii nchi yetu ina nini?
sometime ukiwa na njaa; k+mbe maji hayapandi
story haipandi; hii haina umashuari wala ukauzu
tunavyoishi nusu kama tupo mahabusu
tupo kwenye dimbwi la dhiki
sasa nimeamini kweli, bongo’ chuo cha dhiki
nimeamini kweli’ [?]
usiku ukifika’ usipumzike, usingizi mang’amu ng’amu (mm…mm…)
[?]
miguu iko nje, [?] hana [?] ha… hapana!
[?]
ili mradi ujifiche, kukuche, kupambazuke, [?] ishuke
hali ikiwa kavu nashukuru mungu
banda la kuku, ndani mbu na viroboto

[chorus: juma nature]
dhiki! juu ya karaha ni karaha
dhiki! juu ya karaha ni karaha, anhaa
dhiki! juu ya karaha ni karaha
dhiki! juu ya karaha ni karaha…”oohm”
dhiki! juu ya karaha ni karaha
dhiki! juu ya karaha ni karaha, anhaa
dhiki! juu ya karaha ni karaha
dhiki! juu ya karaha ni karaha…”oohm”
[verse 2: juma nature]
habari nzuri kwa watanzania
hali inakaba’ “enhee enhee…”
utapoingia seloo ‘ mwanzo utapoiona kero
unakaribishwa on free’ kutoka mpaka utoe jero
hakuonei mtu huruma, kwasababu serikali’ bounsa vyuma
wanavyo kukabidhi nyundo hii hainaga hata huruma
wanapotoaga huk+mu huwa hawataki kurudi nyuma
ni virungu tu’ askari je na hapa utaweza?
utajipatia ka homa’ hata vidonge hutomeza
akununulie nani na wakati wazazi wako’ wako nyumbani?
washakula kila kitu’ sasa wanakula mchwa
tuachе sie turuke na masela’ walioko jеla
kwasababu sie tumefika
amini tunachokula’ ridhika
picha linaanza mlinzi wetu amepigika ‘hana kitu
hana hata ka cheo ambacho kinaweza k+mlinda

[chorus:]
dhiki! juu ya karaha ni karaha
dhiki! juu ya karaha ni karaha, anhaa
dhiki! juu ya karaha ni karaha
dhiki! juu ya karaha ni karaha…”oohm”

dhiki! juu ya karaha ni karaha
dhiki! juu ya karaha ni karaha, anhaa
dhiki! juu ya karaha ni karaha
dhiki! juu ya karaha ni karaha…”oohm”

[verse 2:]
mabati yamejaa kutu
mvua ikinyesha, nayo ndo kero
ndani kunavuja [?] mpaka vijiko
mbona mambo mpwito mpwito
tupo kwenye giza’ ukungu …tii!
bado enzi za kilongyu
ukifanya masihara’ haki ya mungu! usigidisongi
kiuno cha mkulima’ zidi kutaka kutambua muda [?]
faida najua’
kutamba kwa muda, unajua!
tutaishi ishije, chalenji’ sasa kiwembe
mahali palipo na mawe kulimia na jembe
bongo land’ tushajizoelea
kila kukicha afadhali hata ya jana
tabu, shida, njaa sana’ majalala yote twajionea… sawa!
hii karne ya dhiki
shibe haipatikani kiurahisi…

[chorus:]
dhiki! juu ya karaha ni karaha
dhiki! juu ya karaha ni karaha, anhaa
dhiki! juu ya karaha ni karaha
dhiki! juu ya karaha ni karaha…”oohm”
dhiki! juu ya karaha ni karaha
dhiki! juu ya karaha ni karaha, anhaa
dhiki! juu ya karaha ni karaha
dhiki! juu ya karaha ni karaha…”oohm”



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...