wakadinali ft abbas and khaligraph jones - high noon lyrics
(abbas)
nimelay lowkey, niliangusha padlock sai natoa lock na mikono za hanc-ck waliagiza tot wakapewa ma-hate shark 1, 2, 3 niko fresh bila prince, uncle hanifeel aunt vivian na hillary si wako na base ata kama sijawajazz bado nachill mi sio jeffrey na bado na deliver at will ashely hii ni rap for real khaligraph, wakadinali na abbas scooby yeah naamka mapema lately siwezi mwaga unga ju mkate ni basic manna toka heaven ladha yake ni tasty son blessed nilikuwa tangu the ’80s naweza sound h-rny nikisema self raising usimind, grind yangu huwa amazing to be or not to be, i have to be do biz or not do biz, ab-ss kubaff kong kong
(chorus)
niko kwa gari ndani ya vitongoji duni na rende ina ride through ata mitaa za mbali sio piga scene tupu naplan kuwa tyc–n guess ni wodo inapairu kushinda t-tration testing what? my crew nilibuy ngware kindukulu ‘shh shh ndo nikuwe na high noon
(khalghaph)
nina miaka kadhaa kwa game na mpaka sasa hawanigusi wacha tudistinguish nani rapper, nani p-ssy nani shark, yaani papa, nani sushi ju maboy nili-inspire, ndio mpaka sasa wananitusi but come to think of it, ndio rap iko kudisagree ni rapper mgani ataeka verse mwisho as long as unaweza roga, mistari zimetosha mboga na rhymes gimical in order na uko tactical then it display easy, whether last ama kwanza haswa hii mbogi yangu ni ya waras na wajanja we ni snitch, unadhani mbona si hukushuku kutuseti ndio zako juu ya marupurupu leave you in a coma, hapana alama ya dukuduku natukuteke kila kitu ubaki utupu tupu siwezi mwaga unga na nakula mboga usiku na ka si ndenga, pia siwezi kosa kisu mambleina wanazua, hawawezi kosa issue industry ina mapirate, utadhani mogadishu
(chorus)
niko kwa gari ndani ya vitongoji duni na rende ina ride through ata mitaa za mbali sio piga scene tupu naplan kuwa tyc–n guess ni wodo inapairu kushinda t-tration testing what? my crew nilibuy ngware kindukulu ‘shh shh ndo nikuwe na high noon
(scar mkadinali)
eey si uongo bang bang na utagenya jiji si watoto wadogo gang gang ni kusema nini mmm ha, naona kama nyinyi mnaplay na mimi lakini swali ni moja tu, tutapenya lini so my brodas, enjoy your days ju tushajua vile itaisha either in jail or dead the radio don’t play me so i play my way anyway my father told me no pain no gain ju bado tuko underground na sichoki sidhani hii ni music, man ukinicheki na kipochi sisoti sikosi azyn mlini mis-judge ju mlinicheki na kitaxin na kichoki yoh, so if i die usisahau kuwambia that i lived my life yoh scar aka mr rizz magwai mi hujuanga nawaumiza mbaya eeh
(chorus)
niko kwa gari ndani ya vitongoji duni na rende ina ride through ata mitaa za mbali sio piga scene tupu naplan kuwa tyc–n guess ni wodo inapairu kushinda t-tration testing what? my crew nilibuy ngware kindukulu ‘shh shh ndo nikuwe na high noon
(domani mkadinali)
mara better ni ka dera mara juzi niliona hadi vera mara zimenirunda kibera mara zimenirunda kivela hakuna venye utajifanya hutusikii venye si tunaboss, unaonekana we ni mbleina kila beat tuko strapped na ki jesus piece tukifinish hatuonekani tena trap trap bila burden trap nai, kitusuru na karen peleka wazimu mathare hatubongi ka haulipi hiyo stori ni usare samahani sana venye maneno haiwezi vunja yai chungeni mbuzi zenyu kitu ya mtu si rule yangu first day alikuja then na boyfriend sai anaspend time kwa room ya mine amini msiamini ndugu zangu thanks god kwa baby steps naona nikiomoka since baby steps niliona nikiomoka hawalali ati walidhani khali alikuwa amechoka nimechizi as if wachape bangi madam mi lung-i inaburn nipe jesus piece, babylon army ndo na inabang mi ndo bigger beast fanya hadi padri dhambi na gun hapa hacommit tisha babi walami zombie inakam..
Random Lyrics
- haley vassar - in my feelings lyrics
- giriboy - 그 정도 쯤이야 (so so) lyrics
- oti$ dean iii - feeling myself lyrics
- kylie spence - lying eyes lyrics
- juan$hi - broly lyrics
- maduk - one last picture lyrics
- orietta berti - se m'innamoro di un ragazzo come te lyrics
- corb lund - sadr city lyrics
- elodie frégé - ta maladie lyrics
- grim therapist - house of flesh lyrics