azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali - 2nd wave lyrics

Loading...

si tuko baaaze tunachill we got nothing to lose
izo change mtatuachia tukiwajazia matatu
mikono juu plz usi make sudden moves
ita press umuambie kuna kitu apa itamaka kwa news

karao alitry kushika yout sema kuawacha mguu
maumau pt2 ni vile tumetulia tu
righteous youts lakini hamtushindi kugroove
hamtushindi kupush hamtushindi ma 1 2

sa mnado… ka si look na kuingia carrefour
pass iyo dutch umedunga na ni foreign si gush
hakuna kitu tamu kama kuget high kwa roof
sa iyo keja imewaka na inagonga tu ma roots

punctuate iyo sentence tuelewe chenye unasema
me ni ka elijah me ni ka moses niktembea kwa bush warena
eeh nakam kwa arena na njaa za ki magera
sauti ya miriam makeba inaplay kwa debe na tena

tumerudi tena ka 2nd wave but only better
rizzla ki nea paraphenelia za mavela
mbleina cheki radar tumeriet tuko ma redeye
yes i natty zinadunda ka za dedan

runda ndo si udunda zikirunda
jeshi ya bunda washwash si mumesunda
will m mtunga ungechanua kina mtuva
izo mili ni za kusunda so itabaki jo umekulwa
alfred mutua alikuliwa pia na julius
crime scene 15 one down rubia
shut down shutup si uliambiwa tulia
kushoto ya kahasho mpaka utaanza kuliapastor alikula kondoo na mbegu haikuwa imegrow
nliwaambia siste alienda kombo skuizi anapenda kuic+ck
na si unajua hatujawai condon mistake zikiwa tatu in a row
na si unajua hatujawai bow down kwa mlami juu ya do

me ndo iyo monkey kwa room otobenga yoh
nimetoka human zoo waliniimport juu ya kuflow
top ranking kwa booth alpha omega bro
patia mtoto the truth ata unaeza mnyima do

hang nao juu ya do kama suicider kwa rope
power inaeza fanya bro apige bro guto
rap loud vunja gate ingia industry na force
towers lazima zita fall after all i know

on god mathangu na pia matha fvkin dosh
tulidoze backstreet tukiwa mbachua juu ya ma cops
nimechoka baeby gal plz panda on top
me mshifty skuizi na work around the clock

ata using hard aje unaeza kuwa the unsung hero
kipsang uyo mbio amecover distance zero
ume hang uko maduya ama untaka reload
si ulimeza 40% sai untaka milo
aliona aache shillings akakimbilia riyad
sai amerudi nil anatuthigitha adi mia
ngumu ata kulipa na we uanga wa kwanza kulia
tuliifanya last year na this year tutairudia

wantaka two thirds ndo ati hali ikue merrier
niko na rude gyal sioni things zikiwa better
na ako wapi dufla ama alikula akasepa
batizwa na boombap kwa jina la kimemia



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...