wakadinali - ekelea kazi lyrics
[hook: domani]
r.o.g tumeekelea kazi
tel aviv tumeekelea kazi
umoinner tumeekelea kazi
forward, ft tumeekelea kazi
aldana tumeekelea kazi
58 tumeekelea kazi
emb-ssava tumeekelea kazi
mwamba tumeekelea kazi
obamana tumeekelea kazi
eastern byp-ss tumeekelea kazi
city hoppa tumeekelea kazi
ongataline tumeekelea kazi
ngumo tumeekelea kazi
nagasaki tumeekelea kazi
paradiso tumeekelea kazi
45 tumeekelea kazi
[verse 1: domani]
[?] ndio juu spending ndio dawa
mchizi w-ngu ali-notice k-mpa penzi ni blunder
hata siku hizi side-hoe-sis ni ugonjwa ya kawa
i’m feeling like moses juu ya kukatanga waba
heri unipige maukapi tuki-beef, usijitie kitanzi
last mbleina kuni-cross ali-p-ss away vi-funny
alijifanya kubonga sh-t chini ya mti, alijiona ye ni nyani
ali-die tu kwa scene, hapakuwa na story za hospitali
i hope hamna teresh nasi
ju si tumetoka east na ni kungori, hivyo ndio nakueleza mdhii
ni ngumu hadi kuteleza huskii
’cause it’s either upige terror au uomoke upige vanessa mdee
kitu mi hupenda sisi ni venye hujuanga ku-exploit
so ma-ninja design ya dora tukuwe explorers
tuna-die once [?]
mambleina wako mneti na wanajifanya hawajai explore
huku ukicheki fiti tunaposhi
unapata k-mejaa mavi kwa orosho
hivo hivo hatujali, tuna-make it
kila terrain yaani kama moroko
mchizi alihepeshwa kwa mob, sema kugoroka
aliruka down ground floor kutoka kwa ghorofa
huku ni kutulia upige biz zako safi mwanangu
uking’ang’ana na pang’ang’a utasota
day and night, time yoyote kazi
as in, sisi tuko macho hapa hapana ng’orota
real badman hadi ma mgaldes wamenoki
mi hukalia mbao hadi judges wame-notice
hizi ni places maajabu
ati niaje uko hai na ulifunguliwa kitabu?
ndole city tumeekelea kazi
rong rende wakadinali tume-do? tume-do? tume-do?
[hook: domani]
huruma tumeekelea kazi
korogocho tumeekelea kazi
dandora tumeekelea kazi
umoroto tumeekelea kazi
kosovo tumeekelea kazi
oyole tumeekelea kazi
donholm tumeekelea kazi
buru buru tumeekelea kazi
githare tumeekelea kazi
k-south tumeekelea kazi
ololoo tumeekelea kazi
mukuru tumeekelea kazi
paipu tumeekelea kazi
greenie tumeekelea kazi
tumeekelea kazi
cabanas tumeekelea kazi
[verse 2: scar]
mtaitana tukiekelea kazi
hapo mchana tuliwekelea kazi
kwa hiyo chama tuliekelea ganji
walishika josie waliwekelea cousin
ey, zingine tunawachia yesu
hii ni- hii ni- hii ni kitu tumepandia mbegu
haki ya nani si ni funny hizo tabia zenyu
hamtukanji lakini si mna ganji ya venue, godd-mn
rende ikiwa rong you better run
shout out to my n-ggaz in the [?]
mama said i should be on their midst
walisema hatutazoza game
now we hit the money and the fame
naeza do wrong but na-do right
school ya hard knocks mi ni alumni
tuna-roll by when the mood right
si na new ndai pale ruiru ndani
walidhani mi fala nipate ganji nimpeleke bar halafu nibaki hoi
naona wakiri they’re scheming
haki mama, they’re planning to k!ll your baby boy
rende ni rong, you already know it
i got boys in your hood and you barely know it
see, we made all these n-ggaz who were making noise
see we keep it stee ka ndani mwiki-ruai
so style lazima iwe safi, g
sijabanjanga na makafiri
hawa ma-motherf-ckers wanakuw-nga drama
wanapanga njama niwe maiti, zi
nita-do kitu kwanza, wapi vii
w-n-leta issue hatutaki
na ikifanyika east inabaki east
si unajuanga fala hubonga mafi
[hook: domani]
r.o.g tumeekelea kazi
tel aviv tumeekelea kazi
umoinner tumeekelea kazi
forward, ft tumeekelea kazi
aldana tumeekelea kazi
58 tumeekelea kazi
emb-ssava tumeekelea kazi
mwamba tumeekelea kazi
obamana tumeekelea kazi
eastern byp-ss tumeekelea kazi
city hoppa tumeekelea kazi
ongataline tumeekelea kazi
ngumo tumeekelea kazi
nagasaki tumeekelea kazi
paradiso tumeekelea kazi
45 tumeekelea kazi
huruma tumeekelea kazi
korogocho tumeekelea kazi
dandora tumeekelea kazi
umoroto tumeekelea kazi
kosovo tumeekelea kazi
oyole tumeekelea kazi
donholm tumeekelea kazi
buru buru tumeekelea kazi
githare tumeekelea kazi
k-south tumeekelea kazi
ololoo tumeekelea kazi
mukuru tumeekelea kazi
paipu tumeekelea kazi
greenie tumeekelea kazi
tumeekelea kazi
cabanas tumeekelea kazi
Random Lyrics
- katy bates - jenny lyrics
- bring me the horizon - doomed (live at the royal albert hall) lyrics
- teacup monster - take it lyrics
- yodael g - development lyrics
- steelix - lay it down lyrics
- domald - doom's plan | parody of god's plan by drake lyrics
- elyon lights - deeply in love with you lyrics
- mile twelve - the margaret keene lyrics
- ayjin - free lyrics
- tryl - cyclone lyrics