wakadinali - mc mca lyrics
[hook: domani munga]
mc still mca
usa, usb na ka charger type c
character yangu ime+develop vibaya
adhd ndani ya airbnb
mc still mca
usa, usb na ka charger type c
character yangu ime+develop vibaya
adhd ndani ya airbnb
[verse 1: sewersydaa mkadinali]
screen yangu bado ni jvc
old school blood mi huona kbc
kichwa mbaya, sewer siskii
watu wa cbc unaeza tuita gen z (gen z)
same thing she’ll still never change
bado mvp tukimalizanga game
sioni haya zetu zikikaa na she
mi ndo vip kwa show zote mna+attend (vip)
jyk ukituona jiekee
jeshi ya b imekam kuharibu south c (south c)
baricade kuna wale wanai[?]
jeshi ya d imekam kuharibu south b
av ukidai tuchome scene (aha)
‘tachoma picha ju hatunanga id
mp hajawai skia our plee (yeah)
mara iebc vitu hata haitusaidii (yeah yeah)
[hook: domani munga]
mc still mca
usa, usb na ka charger type c
charactеr yangu ime+develop vibaya
adhd ndani ya airbnb
mc still mca
usa, usb na ka chargеr type c
character yangu ime+develop vibaya
adhd ndani ya airbnb
[verse 2: domani munga]
yo, ni kaa mi ndio niliwaletea corona
wanabonga very bad, loud hao ma hater mdhii snake kula corner
sababu s++t zao mi huzionyeshanga raw guns
si nikitaka peng labda nikita kering’
lupita haniezi labda akitaka ring
ju ni kuficha ring tuki+do ma featuring
sprite, lean na niko [?]
dry gin nayo nicotine, “hi, honey i’m home”
n+z+kindanga kaa 10 ma githecha
since kindergarten nadaingi kim kardashian
mombasa, naivasha, ama nikupeleke rhodesia?
ama dar mpaka moro? acha ni earn nikuwai goro
[hook: domani munga]
mc still mca
usa, usb na ka charger type c
character yangu ime+develop vibaya
adhd ndani ya airbnb
mc still mca
usa, usb na ka charger type c
character yangu ime+develop vibaya
adhd ndani ya airbnb
[verse 3: scar mkadinali]
yo, this year niko fully loaded
mca mbele ya wasee sikuli gode
sichoose kazi jo uchumi ngori
usiulize nafanya nini niko shugli zote
usimess na hii sh+t ni deep
dem yako sik+mdishi nilim+pimp
kurura windows ni tint
karao anachunguza nini hio ina+stink
brejin, how you behavin’
ksm vitu tulifanya airbnb
mc wenu bado mcm
that’s why they can’t compare me and them
juu ya chats kama vom
juu ya cash, uone violence
niliuliza matha “land, ama ubuy+iwe benz”
kovu on demand, warazi wana+tense
[hook: domani munga]
mc still mca
usa, usb na ka charger type c
character yangu ime+develop vibaya
adhd ndani ya airbnb
mc still mca
usa, usb na ka charger type c
character yangu ime+develop vibaya
adhd ndani ya airbnb
mc still mca
usa, usb na ka charger type c
character yangu ime+develop vibaya
adhd ndani ya airbnb
mc still mca
usa, usb na ka charger type c
character yangu ime+develop vibaya
adhd ndani ya airbnb
Random Lyrics
- vellz piffy - drop the top lyrics
- jusc - doubled up lyrics
- flaming calibers - perro rabioso lyrics
- bunnox - night beat lyrics
- big thurmn - change lyrics
- magneto dayo - harlan ellison lyrics
- pva - bad dad lyrics
- skrewdriver - i don't need your love (1) lyrics
- keko-g - ghetto politik lyrics
- mc kako - passado lyrics