wakadinali - ni hivi ama ni hivi lyrics
hehehe yeah
(beats, beats, beats, afriq)
kila iko standy, zile vitu na burn ni eco+friendly
na+na+na na macladi simple trending
na ka mimi siko kazi niko spending
aah, so ni hivi ama ni hivi
anakuzungushia round kama chama ya bibi
anavuruga sana diana tamani ndizi
ju anajua nadumu kama zaz na para ni mingi
ka ya mingi so mi staki liquor
pasi refer na ya bingi nikiwasilisha
unaweza kasinyika kasirika
kunywa scons na hafi litre
naweza amua kukusponsor ka sidika
mmmh, ushapoteza direction
nabado sijakupitisha hizi choche za ghetto
tuko mahali tunaparty wako kwote kwa rico
wakadinali tumejihami nipopote tulipo
huyo dem ako club ana whine her waist
anadai hako busy
anasema tonight anandai na mangwai za wess
so tunaenda kwako lini
so namuuliza ni hivi ama ni hivi hivi
ama ni hivi hivi ama hivi
ni hivi ama ni hivi hivi ama hivi hivi ama ni hivi
yeah, nyi waki wakatsia nacada
mi huwa nahofia wakadinali that, naezanga ji murder
ju nakata bale cha mwadha mwadhara
watajitetea aje kwa akina alex chamwada
ju ya, venye natunga essay nikama assassin ’cause
nikaa naenda s.a ku face aka
na kalashnikov tukipata mdranya ana search cab akishaingizwa box
boss manzi next ni kwa hoverboard
last vajo alivunkwa ndani uber joo
polisi hawanishiki but ninakosa
nina mtoto namiliki bila posa
ski still, bila reason minazoza
kila wiki westi ni kempinski vila rosa
swali ni moja ni makosa acha kubabaika
sister sikupendei sifa mamacita
skiza mrembo we ndo kama queen wa shiba my makida
zazba ka ni shade navunj
just it naceleini ivi siku za hardship na mashida ilali kama happiness nakuja
kuja kuja kuja
huyu dem ako club ana whine her waist anadai hako busy
anasema tonight ana ndai na mangwai za wess
so tunaenda kwako lini
so namuuliza ni hivi ama ni hivi hivi ama ni hivi
(ah yoo), ni hivi ama ni hivi hivi ama ni hivi hivi ama ni hivi
dem anapendanga ma superstar
ndo mana lately anasuka scar bro, ni hivi
zii anapendanga munga haswa ni muite mchumba awe munga’s wife aah ah
walikam kapotea kama supra
mi nikicome nta compare kama sutra
so izo mkono(rusha)
hivi (rusha), hivi(rusha), ama hivi ama ama (rushwa rushwa)
so wanauliza ni hivi, ama ni hivi
wanadhani ati umechizi ama umechizi (tunaenda kwako nini)
so namuuliza ni hivi ama ni hivi hivi ama ni hivi hivi ama ni hivi(aah yoo)
ni hivi ama ni hivi hivi ama ni hivi hivi ama ni hivi
na muuliza ni
na muuliza ni hivi ama ni hivi hivi ama ni hivi hivi ama ni hivi (aah yoo)
ni hivi ama ni hivi hivi ama ni hivi hivi ama ni hivi (aah)
Random Lyrics
- morrisson - locked up lyrics
- audio88 - lust auf kampfsport (fid mella remix) lyrics
- jorgitoalc - sapos lyrics
- brookes brothers & mia kirkland - enemies lyrics
- pett ruu - no sugar, all spice lyrics
- nunfi - no mercy lyrics
- lisa (jpn) - ブラックボックス (black box) -tv ver.- lyrics
- tre loaded - trap do lyrics
- loong-g龍吉 - 这片水域归它管 (zhè piàn shuǐyù guī tā guǎn) lyrics
- osamason - mix & dip (feat. herb4k) lyrics