azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali - no lyrics

Loading...

ukitajwa utaitika kwa cortcore
hearing ya fourth bro inasemekana ulipiga koto
sewersydaa aliruka kwa fourth floor
hakudedi alisurvive raia ikampiga mangoto
uliingiana kwa mbosho no
naskia umekuanga msoto no
iyo ni moshi ya local no
shh shh puff moja no
uliingiana kwa mbosho no
naskia umekuanga msoto no
iyo ni moshi ya local no
shh shh puff moja no
front row kwa riot walidedi ata before revolution ianze
some days to ballot naona mca ndio amekuja kuresume kazi
first time in public na amekuja kuwa crush ka kamikaze
ka huezi drill jipange na ka unaona unaeza nireach kajikaze
tuko na maafande hii pande wanangoja kupata order from sergeant
gava haiezi gawa mkate ka uko lucky watakuachia mabakshish
sai tuko mamzinga mabale nikiongeza apo ganja kalale
mavete walizima apo ngware after niwachome moshi za foreign
back then tukianzanga hii mziki ilikua tu dc na sisi
burden tunamanga na siblings ile yenye ulikamilisha kamili
mtoto amekua mtoro umoroto naskia ameanza kupandisha kamisi
maisha ya mpini ye ubidi tukiwa msoto avoid tu polisi
ukitajwa utaitika kwa cortcore
hearing ya fourth bro inasemekana ulipiga koto
sewersydaa aliruka kwa fourth floor
hakudedi alisurvive raia ikampiga mangoto
uliingiana kwa mbosho no
naskia umekuanga msoto no
iyo ni moshi ya local no
shh shh puff moja no
uliingiana kwa mbosho no
naskia umekuanga msoto no
iyo ni moshi ya local no
shh shh puff moja no
rule ya mastoner moja the roller lazma apate the honours
hauezi kam kuchoma ngoja na iyo kiherehere
we ni joker smoker
tell’em tuko matembe tuna pepea mbele kama johnny za mbeere
usipende bwerere fika maibe usiseme uliuziwa mkebe
ndani ya moshogi na ki mothongi tuambie utatoa motoi
courtesy ile design after kukuibia tunakuambia sorry
karatasi ikihide tunaingia maili kuwashika bei ya jioni
tortoise anawalk tu slowly bila pressure ni ka ako macodeine
boarding si uingia na irori tunakuja na hasira zote ploti
kuwa burn siku ya 40 naskia kuna ngati aliperemba mbogi
missionaries walituona ma doggy, wengine walituona matodhi
walienda kwa mrogi kushika magondi
next thing unaskia kwa courti
ukitajwa utaitika kwa cortcore
hearing ya fourth bro inasemekana ulipiga koto
sewersydaa aliruka kwa fourth floor
hakudedi alisurvive raia ikampiga mangoto
uliingiana kwa mbosho no
naskia umekuanga msoto no
iyo ni moshi ya local no
shh shh puff moja no
uliingiana kwa mbosho no
naskia umekuanga msoto no
iyo ni moshi ya local no
shh shh puff moja no



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...