wakadinali - rude bwoy lyrics
it’s mcity music baby
eyuh chino you again?
pale roysambu napiga mahesabu
za kuwashika shika man a dogy sambu
za kuwashika man a dogy sambu
za kuwashika man a dogy sambu
pale roysambu napiga mahesabu
za kuwashika shika man a dogy sambu
pale roysambu na, pale roysambu na
pale roysambu na, pale roysambu na
rudeboy amerudi na nani
arif na kindeng’a ndo form magizani
rudeboy amerudi na nani
wanaeza tia chuki lakini hatujali
rudeboy amerudi na nani
arif na kindeng’a ndo form magizani
rudeboy amerudi na nani
wanaeza tia chuki lakini hatujali
rudeboy amerudi na nani (wuzu wuzuuu)
arif na kindeng’a ndo form magizani
rudeboy amerudi na nani
wanaeza tia chuki lakini hatujali
rudeboy amerudi na nani
arif na kindeng’a ndo form magizani
rudeboy amerudi na nani
wanaeza tia chuki lakini hatujali
pale roysambu napiga mahesabu
za kuwashika shika man a dogy sambu
za kuwashika man a dogy sambu
pale roysambu napiga mahesabu
za kuwashika shika man a dogy sambu
pale roysambu na, pale roysambu na
alaa wuzu, wuzu
man a badman, form za kiwagwan
munga tisho w+ngwa utaezana?
niko na new clarks, products
bado nina dinga, with your sinyorita naringa
woi wuzu, woi wuzu
mambleina sanya, wasichana kusanya
wasichana hanya, sema chali yake nini atafanya
ndani ndani, okay nikiwa jela eka ata dania
ndani ndani buru ndani tuna burudani
free boychild, free boychild
free boychild!
njege masanse wakwende
rudeboy amerudi na nani
arif na kindeng’a ndo formmagizani
rudeboy amerudi na nani
wanaeza tia chuki lakini hatujali
rudeboy amerudi na nani
arif na kindeng’a ndo form magizani
rudeboy amerudi na nani
wanaeza tia chuki lakini hatujali
rudeboy amerudi na nani (wuzu wuzuuu)
arif na kindeng’a ndo form magizani
rudeboy amerudi na nani
wanaeza tia chuki lakini hatujali
rudeboy amerudi na nani
arif na kindeng’a ndo form magizani
rudeboy amerudi na nani
wanaeza tia chuki lakini hatujali
rudeboy amerudi na nani (wuzu wuzuuu)
arif na kindeng’a ndo form magizani
rudeboy
rudeboy, rudeboy
eh eh eh eh…
wera iko juu mzanzena
wera iko juu mzanzena
vua mambling kifulana
hapa magizani utaitana
vua mambling kifulana
hapa magizani utaitana
piga mboka kibafana
ka kilalo ni ya jana
mua sana na umekaba
cheza sana ni majaba
kuna nini? kuna nini jamani
kuna nini? kuna nini yeah
kuna nini? kuna nini jamani
kuna nini? kuna nini yeah
kuna nini? kuna nini jamani
kuna nini? kuna nini yeah
kuna nini? kuna nini jamani
kuna nini? kuna nini yeah
rudeboy amerudi na nani
arif na kindeng’a ndo form magizani
rudeboy amerudi na nani
wanaeza tia chuki lakini hatujali
rudeboy amerudi na nani
arif na kindeng’a ndo form magizani
rudeboy amerudi na nani
wanaeza tia chuki lakini hatujali
rudeboy amerudi na nani (wuzu wuzuuu)
arif na kindeng’a ndo form magizani
rudeboy amerudi na nani
wanaeza tia chuki lakini hatujali
rudeboy amerudi na nani
arif na kindeng’a ndo form magizani
rudeboy amerudi na nani
wanaeza tia chuki lakini hatujali
nipange nikupange nichunge nikuchunge
nipange nikupange nichunge nikuchunge
nipange nikupange nichunge nikuchunge
nipange nikupange nichunge nikuchunge
Random Lyrics
- snow man - crazy f-r-e-s-h beat lyrics
- 26ar - heavenly lyrics
- cousin simple - chapstick lyrics
- lopes & jc reyes - 24/7 lyrics
- jls - glow lyrics
- darksunn - 3 shots lyrics
- mindy quynh - terrified (prod. idly blare) lyrics
- koonta (쿤타) - 타이밍 (timing) lyrics
- png (esp) - tarde lyrics
- xdragentinationwxrl - dzīve saplosīta lyrics