wakadinali - shit yangu lyrics
[intro: domani munga]
employee of the month
employee of the month
employee of the month
employee of the month
[chorus: domani munga]
sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu
sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu
[verse 1: domani munga]
juzi juzi na si siri
tumeshinda movies ni ka tunaona series (ni ka tunaona series)
ndani ya vitz wakiuliza which activity mnado tunawaambia “which activities”
akikusize ni usherati, sites za ngwati
sides za mbati, salimu wanati
juu this time ka huradi utafanya ni[?] mabati
[refrain]
i’m chasing my goals
kaa hufiki bei you’re breaking my b+lls
i’m chasing my goals
kaa hufiki bei you’re breaking my goals
i’m chasing my goal
kaa hufiki bei you’re breaking my b+lls
i’m chasing my goal
na ka hii kanairo huijuangi videep
huwa inakaa ni ka hujawai heartbreak+iwa vizuri
malindi+ndi dramatize hata kushinda mahindi mthii
[chorus: domani munga]
sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu
sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu
[verse 2: w+ngechi]
mmh, mi ni w+ngechi walai, nafanya sh+t yangu
napull up na mangwai kwa karai, nafanya sh+t yangu
niko nditni is, na si kwa mababii, nafanya sh+t yangu
w+ngechi, w+ngechi, w+ngechi wa manya—, w+ngechi wa manyags
karao ukiniona furahi, ndo wife na mtoi wapate staftahi
walai, kesi baadaye
labda mi nikupe bars
ama imuje, imuje, imuje, imuje, imuje, imuje
ama imuje, imuje, imuje, imuje, imuje, imuje
[chorus: domani munga]
sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu
sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu
[verse 3: scar mkadinali]
nilishaamuaga sistruggle, hii mwaka mi nafanya sh+t yangu
ndugus anawakimbizaga mchana, mimi usiku ndio naingia shift yangu
wanajimix mimi ninakeep calm tu
uwaganis huwaga imekosa chanjo
baggy jeans para ni za kitambo
cannabis ka tumekosa mipango
size risky inatoshana na candle
nina discipline siezi cheza na cargo (what, what)
mrembo anafanya pesa nafumble
ikiisha wanasogea kando, he+he
[chorus: domani munga]
sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu
sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu
[verse 4: sewersydaa mkadinali]
aftermath always huwaga hesabu
hawana methali na tumejaza vitabu
mariba, tangu enzi za babu
mascandal za media ziliingiza maribe kwa taabu
ka wanatuulizia we’ waambie tunamuja
tuko mastula tusha order sambuca
unaeza ivuta si tuko maduyaa
piga scene dundaa tukitafuta mfupa
goals zangu hazini+allow nyi’ kufunga door ooh, nyi ni ma gatekeepers umbwa!
mi nafanya sh+t yangu
we unakam kuniletea shida zako, joh
mi nafanya sh+t yangu
we unakam kuniletea shida zako
[chorus: domani munga]
sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu
sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu
sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu
sina nguvu tena sina muda wa kufight na mwanadamu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu, nafanya sh+t yangu
nafanya sh+t yangu
Random Lyrics
- amarrai cabell - my therapist has a therapist lyrics
- gambas kon fimosis - villancicos con fimosis lyrics
- crash (c r a s h) - l.o.m lyrics
- gyroforce,urdarling - члена.нет lyrics
- shinta arsinta - jauh sebelum ada kamu (feat. james ap) lyrics
- chaar diwaari - bhool ja lyrics
- terry joe - nie mehr allein lyrics
- l.a.x - bank alert lyrics
- big r3d - okay lyrics
- denzel cheng - god damn lyrics