azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali - tamashani lyrics

Loading...

[intro: domani munga]
vile wanaweka energy vizuri tamashani
dance na mimi
hizo ni gani wanaleta my summer bunny juu unakaa vizuri
(big beats afriq)
dj vile watu wanaweka energy vizuri tamashani
dance na mimi
hizo ni gani wanaleta
my summer bunny juu unakaa vizuri
dance na mimi

[verse 1: skillo]
stra ni za kizimbiting, si lazima nidingli
mtaa niko na bibi hanaku idhaa ya simping
situmii shilingi heri nidingli aringi
si+do biz na nyinyi nimezoea free things
sherehe kila tarehe, mali ndio sinanga
peng kitu inakumake wet sio dikithe ni face
situlii mpaka che
heri nikuthigithe mizieda!

[verse 2: domani munga]
yoh, promise undelivered
sexy nigga come tudance siezi kataa
zitoke cheza safe mchezaji wa kulipwa
niaje kiuno chako we ni mwepesi
hanaku tetesi kukula fare siwezi kataa
we’ ndio irori we’ ndio ngata
dance kinyama pigwa serengeti menje
nilishow m7 that makende ni ya kinembe
tuserereke usiende, aluta bila gwethe
misheveve na sembe mpaka tengerere tenge
[chorus: domani munga]
cheki watu wanaweka energy
vizuri tamashani
dance na mimi
hizo ni gani wanaleta
my summer bunny juu unakaa vizuri
dance na mimi
dj vile watu wanaweka energy
vizuri tamashani
dance na mimi
hizo ni gani wanaleta
my summer bunny juu unakaa vizuri
dance na mimi

[verse 3: sewersydaa]
hata siamini mbona mzae anashtuka
na ye’ ako na mwere, mi niko na chupa
watu wako mafuta, ruche pia anashuka
try kutupa, niko na whole heap‘a troopers
dance na hio mini, usiogope mamii
rock and camino unadeal na msanii
unadai nini? the bill is on me
siezi reject hio shit but still mi gen z

[verse 4: sudough]
jumamosi itatupata
bata ndani ya tamasha
passa passa au chakacha
peng viuno wanakata
saa hio vitu vimewaka
utachekwa ukihata
wanadada fire crackers
summer bunny toka atlanta
[chorus: domani munga]
cheki watu wanaweka energy
vizuri tamashani
dance na mimi
hizo ni gani wanaleta
my summer bunny juu unakaa vizuri
dance na mimi
dj vile watu wanaweka energy vizuri tamashani
dance na mimi
hizo ni gani wanaleta my summer bunny juu unakaa vizuri
dance na mimi

[verse 5: scar mkadinali]
sikuplan kukuwa na kids
madem flani walikataa kumeza ma+pills
vile broski huskuma ma+keys
kwa tenje ni ma+meso za “you have received”
kijana yangu mdogo hutembea na sshhhh
pedi mkubwa sana kenya huitwanga sshhhh
mi na we hu+buy ma views kila mara
ni vile views zangu ni za maasai mara
astaghfirullah! she got this tough a lot
kichele boy na ma dance style za sufferer

[verse 6: katapilla]
timing perfect, hii ndio anthem
ya wapendanao kwa whine and grind in bashment
si siri, we run tings like government
tukeshe au tumalizie kwa apartment
shikilia shanga kwa kiuno ya aisha
jiachilie after ma panda shuka za maisha
disorient, ma hater vip hawaezi fika
mrembo peng, wa far east ah, na ni mali fisa
[chorus: domani munga]
cheki watu wanaweka energy
vizuri tamashani
dance na mimi
hizo ni gani wanaleta
my summer bunny juu unakaa vizuri
dance na mimi
dj vile watu wanaweka energy
vizuri tamashani
dance na mimi
hizo ni gani wanaleta
my summer bunny juu unakaa vizuri
dance na mimi



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...