wakadinali - ujinga ujinga lyrics
yeah, wakadinali wah wah wah waah
big beats beats beast afriq, wah wah
biz mingi kunibook buda lazma tiko, hizi chingri huko hooked lewa jana siko
niko easy ukistukwa tena siko
maintain weapon, mi npate lido, ako mini disco na ma mini ziko, refa nipewe kick off
ka unanipea si unipee ama lazma tuhepea ka tuinua kipekee
mbona kimya ni rear na mlifunzwa na
ngwea
niko dina mi player kisha leta upstairs
wanahepa nkistare aah
kaskii na baika, na spit vi tighter
yasmin ijumaa, ka still jamaa
ka umejaza sh+t chuchumaa alaa
wako madawa nka cologne ya santita
hawana haya huoni jabaz nawapita
cheza angle theta, ukiweza mr
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
flow ni ile ile imepigwa na mob
old school kama ngoma as bob
bweee, natapikia macop
mi napita kati kati yao nikinukia mandom
hata jerry anado biz inachukiwa na tom
ka si fegi ni kidubi napulizia kwa choo
ju hatakuhusu, masikio wala ndewe
chapwa kung fu, si ndio matukio mi na wewe aah
nakeep defence vitight naеza tell ni sea
flow kali nimemix chеki chemistry
beat ya chris kwa mic ni ma a b c
ares kwa keys, doshl slim na ldc
nak!ll army na swa, na ki lami nakaa
nafeel funny nafeel sina imani jamani
kila idhani na k!ll still domani na slim
real tamani hi sk!ll, deal sidhani ntaheal
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
niko on air mithili ya radio presenters na pilots
mi huwasiandiki bars mlime bio ni press up za biro
na tema comic lyrics till natesa kajairo
ati kenya na cairo, misri mi ndio kusema like eye b+lls
i’m like israel, piga grunedi gaza ju ya usoro
githa ni mashex ndio naset yafaa tuseti collo
yolo ni makuber zaza na ugoro
tots nazchapa plus sportsman ka za malgoro
ni heri rebis, kuliko ati g+y ni rapist
ilikua ati ye ni rapist, alikua anacarry herpies
enyeri hepi lakuja like berry lately
mashujaa mapeddy friendly, makuga kaeni steadily
keleele zimefichwa zihubidi voice
kale si spinach, terere ndio mchicha haudigi form
vitu mbaya mi hupiga studio, zangu ni mapishi bomb
kiherehere ni ya nini bro, five star hotel kuhitisha kitu hujai dishi home
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
haya haya kusu kujipa tu jina kiujinga ujinga haiyayaya
Random Lyrics
- holy water (tx) - sunflower lyrics
- prodalsya & sasha gura - смотрю на небо lyrics
- tinamelodies - jogo do amor lyrics
- alice walkerx6 - kes lyrics
- someone enoemos - companion lyrics
- la original banda el limón de salvador lizárraga - fiesta en la sierra lyrics
- saske (grc) - το καλοκαιρι αυτο (to kalokairi auto) lyrics
- kalisway - afraid to be broken lyrics
- destiny petrel - feel the same lyrics
- los temerarios - pobre tonto enamorado - remastered lyrics