wangechi & scar mkadinali - aha aha lyrics
[intro: scar mkadinali]
yo, for real
b3nz.on.1t
[verse 1: scar mkadinali & w+ngechi]
tunachoma tunachill na watiri wana+stare
ukiona niko clean, ni ma cd nili+sell
i said how i feel so i feel it when i say it
first time nilale cell, i was feelin’ innocent
na bomb ni bomb na mi sipendangi ma+jokers
akili ni nywele, i see these n+ggas with some low+cuts
niko na mafans kibao, mi’ na+chase dreams we una+chase kibao
alaa
[refrain: scar mkadinali & w+ngechi]
uh, n’kipita wanasema ni hao ni hao
na ma+sister wanauliza ni how, ni how?
wanataka kunipa meow meow
mi s’taki narudisha juu ni zao ni zao
nikiwasha kitu ni loud ni loud
baada ya session piga ma+round ma+round
karao mwonyeshe madhara+rao
mama yao na bado, baba yao
[chorus: w+ngechi & scar mkadinali]
si munanimaliza (aha, aha)
mulisema nani amenifika? (aha, aha)
bado mutacheza kwenye speaker (aha, aha)
juu mi na+run game kilometre (aha, aha)
huyu ni miujuza (aha, aha)
ninaleta nuru kwenye giza (aha, aha)
nipate kwenyе mbulu pia speaker (aha, aha)
nikichoma nduku kilometrе (aha, aha)
[verse 2: w+ngechi & scar mkadinali]
hizi story zenu muwachange mbali
ka ni beef munataka, weka chapa na wali
unakaa kama nyoka ukinijulisha hali
why your man say he love you but he callin’ me honey what?
ati where, who, wapi na nani?
scar, kovu, wakadinali
i thought i, told you, rada ni gani
bonga mbovu, utashikwa gizani
[verse 3: w+ngechi & scar mkadinali]
hmm, yeah, ati uliskia wapi?
mi huw+nga straight, mi sichapangi maroundi
scar ndo mrui mi hu+hang na ma babi
niliwacha spliff mi hukata tu ka maji
napendaga ma+groupie time sina uradi
hata ukuje na suti ama jeans iwe baggy
gish huwaga bougie, mi huwaga bandit
pilsner baridi, ye’ hupenda konyagi, mmh
[chorus: w+ngechi & scar mkadinali]
si munanimaliza (aha, aha)
mulisema nani amenifika? (aha, aha)
bado mutacheza kwenye speaker (aha, aha)
juu mi na+run game kilometre (aha, aha)
huyu ni miujuza (aha, aha)
ninaleta nuru kwenye giza (aha, aha)
nipate kwenye mbulu pia speaker (aha, aha)
nikichoma nduku kilometre (aha, aha)
[refrain: scar mkadinali & w+ngechi]
n’kipita wanasema ni hao ni hao
na ma+sister wanauliza ni how, ni how?
nikiwasha kitu ni loud ni loud
baada ya session piga ma round, ma round
wanataka kunipa meow meow
mi s’taki narudisha juu ni zao ni zao
karao mwonyeshe madhara+rao
mama yao na bado, baba yao
Random Lyrics
- fant0m studios - baddie lyrics
- пельмени по вене (pelmeni po vene) - устал (tired) lyrics
- lliieedd - выдыхаю дым (exhaling smoke) lyrics
- thatnerdchris - sus rap battle 2 lyrics
- lex outo - feeling killer lyrics
- originalcypherbeats - triumph cypher lyrics
- gbl - chinatown lyrics
- t$unami811 (rapper) - llime lyrics
- apollo333 - wyp lyrics
- jiyoung kang - lucid dream lyrics