wangechi & scar mkadinali - vibes n' inshallah lyrics
[intro: scar mkadinali]
yo for real, for real
you already know for real
b3nz.on.1t
[verse 1: scar mkadinali]
yo, tellin’ me stop rappin’
but still, you tellin’ me top chattin’
girls want d+ck, i tell ’em “i don’t love him”
don’t talk to police (shhh) tell him nothing
‘sifanye upigwe soki, usifanye nikuibie
usifanye niingie shoppin’
benz waambie, wasifanye nirudi koti
last time, mabare mkaripoti
uko twitter, ung’ang’ane na matusi
we’ na edgar obare inafaa mfanye harusi
hii ni compe ya ma+champe na ma+rookie
tuko mtaa yenu, k+mamake tuko lootin’ p+ssy!
huyo ms’chana achana na yeye, niliwaambia akienda atarudi, upuzi!
namkanyanga ka mende, alafu tunakunyonga ka doobie
[verse 2: w+ngechi]
venye inafaa, vеnye inafaa
msichana mrembo na kijana mang’aa
venyе mi na vaa, venye mi na vaa
niki+pull up ni luku na naongeza fur
venye wana njaa, venye wana njaa
ma+fans walisema wanataka bars, uh
mimi ni madam, mimi ni madam
lakini niwaulize nani hulipa bill kwa bar
siniliwaambia na mulikataa, nina chali +n+lia ni chill mtaa
saa zingine na wauzia ama nawanunulia lakini wananijua mi hulipa cash
uh, still around na sichoki
wana madharau mi n’na ploti
zao ni ma fraud g+forcin’
mauwano kwa hii town ni flossin’
[verse 3: scar mkadinali]
oh sh+t, baby girl take it easy on them hatutaki mikosi
moshi, moshi, moshi, tuna+burn ploti
kama kawa’ show tuna mbogi
tume+come kuwa show mnakaa phony
niliambia mathe “mum jaza trolley”
wacha stress, pewa shamba likoni
uh, si unajua who i am
mountain mover wana buya wana run
[verse 4: w+ngechi]
yeah, na mtu nguyaz it’s my turn
wacha ni wa+show venye si’ huwa tunafanya
naskia ma ring ring, no m+pesa
naskia kuna gig bila besha
niko hapa studio mi n’mekesha
missed calls on my cellie wacha pressure
uh, hapa ni vibes n’ inshallah
soft life hope umeshika rada
drip nice ni ma gucci na ma prada
yeah, ni ma gucci na ma prada
[verse 5: scar mkadinali & w+ngechi]
eeeh, ni vibes na inshallah
tuna+sip wine na mashada
tunaruka line kama kawa’
ma+manze flow ya mine inawa+harass
hatutaki lawama apana
achana na w+ngechi si mum aliwakanya
we started out fly now we flyer
si huw+nga outside bila haya
[verse 6: scar mkadinali]
landlord anateta nimezoza sana
ju nimeshinda keja nimedunga ma+pajama
kuna nuka vela na wamama
maid wa neighbour alidanganya namhamya
mmh, lakini wapi jo
nipatie mali mi sitaki doh
nina kishang’ kwenye parking lot
nikikitoa itakusimamisha roho, aii
[verse 7: w+ngechi]
si umekuja na ubaya bro
relax ju saa hii ni ithaa ya doh, uh
hawanielewi ni ma parable, uh
inawauma ma panadol, uh
paka kiluma kwa kipara bro, uh
ni ma+rumour ma para joh
yeah huwezi zusha you paranoid, uh
nakuamusha usilale hoi
hapa ni vibes n’ inshallah
Random Lyrics
- daviddeuxfois - tu mets lyrics
- goodbyealex - three strikes lyrics
- mellorine - july lyrics
- вадяра блюз (vadyara blues) - холода (cold weather) lyrics
- kylie minogue - right here, right now (ft. giorgio moroder) lyrics
- contact (aut) - schwarze madonna lyrics
- sugababes - about a girl (k-gee remix radio edit) lyrics
- azteca - puffin on zooties freestyle lyrics
- chico with honeyworks - 君ガ空コソカナシケレ (kimi ga sora kosokanashikere) lyrics
- nic violets - addictions lyrics