watendawili - sio february tu lyrics
[verse 1]
mpole sijakuposti
mwezi huu wa februari
ntakuposti mwaka ujao
mpenzi w+ngu usijali
ila usione kuwa
kuwa iko mbali
wanakula nyanya kitunguu
si tw+tengeza kachumbari
mapenzi, mapenzi
mapenzi hodari
mapenzi spidi ndogondogo
hatukimbizi gari
tusijilinganishe nao
hawatujui
maua yauzwaga kila siku
ila hawanunui
[chorus]
baby nakupenda
januari to desemba
sio februari tu
sio februari tu
baby nakupenda
januari to desemba
sio mwezi moja tu
sio mwezi moja tu
kila siku mama
sio februari tu
kila siku mama
sio februari tu
kila siku mama
sio februari tu
(a happy wife, a happy life)
sio februari tu
(wuod omollo)
[verse 2]
valentines siku nzuri
ila si ni watofauti
na wengine walikopa pesa
ili waweze pelekana movie
na sisi, tulibaki hapa
na najua ilikuuma sana
ulitaka twende date
sorry my baby, haikuwezamakе
kila kitu unataka utaget
tafadhali usikuwe na regrеt
februari sio mwezi tu pekee
i will love you everyday
[chorus]
baby nakupenda
januari to desemba
sio februari tu
sio februari tu
baby nakupenda
januari to desemba
sio mwezi moja tu
sio mwezi moja tu
[outro]
kila siku mama
sio februari tu
kila siku mama
sio februari tu
kila siku mama
sio februari tu
kila siku mama
sio februari tu
Random Lyrics
- from satellite - just another girl lyrics
- travio2008's - sun lyrics
- zülfü əsədzadə - ruhumun əksi lyrics
- gonzalo genek & kaeve - veneno lyrics
- pleco nation x kid rap - yung gods lyrics
- guys on the mic - llegamos ya lyrics
- thunderplump! - what is love (interlude) lyrics
- 2kizz - у меня дома (at my house) lyrics
- miriam fornari - cielo lyrics
- cecil sharp - the water is wide lyrics