westleiigh - ntakupigia lyrics
intro
ntakupigia uperfom (ntakupigia uperfom)
huku mjini mi ndio don
bado mi nasaka show (mh show )
ntakupigia kwa phone
ntakupigia uperfom (ntakupigia uperfom)
huku mjini mi ndio don (mh don)
unajua mi ndio boss ntakupigia uperfom
verse1
kwa call +na promoter
ye hushinda on the daily kunichocha
ako rieng za mashada na mogoka
amek!ll dreams zangu za kuomokaa
si unajua mi jakom
na niko rada za mandom
bado mi nasaka fom
pesa ng’eny we wa ball
hook
ntakupigia uperfom (ntakupigia uperfom)
huku mjini mi ndio don
bado mi nasaka show (mh show )
ntakupigia kwa phone
ntakupigia uperfom (ntakupigia uperfom)
huku mjini mi ndio don (mh don)
unajua mi ndio boss
ntakupigia uperfom
verse 2
badboy,you rocking with the boy
nikipata money nani lazima niblow
heartboy,mapenzi za doo
ukipata ganji kiasi lazima ufloss
juu chini nimedunga luku fiti
huku mjini wanajua mi ndio gw+ngi
izzy dizzey ilikam wakatii
si unajua mi bazenga nanii
niko fiti yani bado nko eazy
mi hupiga mistari bila tizzey
niko luku nimedunga kama chizzey
this time mi sirogi juu ya kiki
ntakupigia uperfom (ntakupigia uperfom)
huku mjini mi ndio don
bado mi nasaka show (mh show )
ntakupigia kwa phone
ntakupigia uperfom (ntakupigia uperfom)
huku mjini mi ndio don (mh don)
unajua mi ndio boss
ntakupigia upеrfom
ntakupigia uperfom (ntakupigia uperfom)
huku mjini mi ndio don
bado mi nasaka show (mh show )
ntakupigia kwa phone
ntakupigia upеrfom (ntakupigia uperfom)
huku mjini mi ndio don (mh don)
unajua mi ndio boss
si unajua mi ndio bwoy
ntakupigia uperfom
ntakupigia uperfom
ntakupigia uperfom
mh don
si unajua mi ndio bwooy
ntakupigia uperfom
Random Lyrics
- therealayz22 - portami su lyrics
- noah dillon - dolce & gabbana lyrics
- memo remigi - quelli dell'arcobaleno lyrics
- avril lavigne - take me away (live acoustic version) lyrics
- sevi rin - auf meinen schultern lyrics
- dj chari & dj tatsuki - good die young lyrics
- askar sheehan - all what we got is all what we lost lyrics
- fabio lísias - recomeço lyrics
- rossano - sole freddo lyrics
- pink phantom - paralyzed lyrics