whozu_ - vavayo lyrics
yesa man yesa yesa
badi
zombiee mmh!
shhhh!
yaani kama yangu
nitaipata hata mkiibana
(yaani kama yangu)
(nitaipata hata mkiibana)
aiii mama
k+mbe siku hizi wachawi sio wazee
(aiii mama)
(k+mbe siku hizi wachawi sio wazee)
nasema kama yangu
nitaipata hata wakiibana
(nasema kama yangu)
(nitaipata hata wakiibana)
aiii baba
naona wana mapepo tuyakemee
(aiii baba)
(naona wana mapepo tuyakemee)
mungu baba tusamehe tumelewa
hii dunia kuna watu wanaboa
mungu baba tusamehe tumekunywa
hii dunia kuna watu wanakera
shikilii papapapapapolipo
(shikilii papapapapapolipo)
kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa
(kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa)
shikilii papapapapapolipo
(shikilii papapapapapolipo)
wasiopenda mi nikifanikiwa wote mavavayo
vaa vavavavayo
wasiopenda we ukifanikiwa wote mavavayo
vaa vavavavayo
mhh eeh eeh eeh
yaani kama yangu nitaipata hata mkiibana
(kama yangu nitaipata hata mkiibana)
aiii mama k+mbe siku hizi wachawi sio wazee
(aiii mama k+mbe siku hizi wachawi sio wazee)
nasema kama yangu wataipata hata wakiibana
(kama yangu nitaipata hata mkiibana)
aiii baba naona wana mapepo tuyakemee
(aiii baba naona wana mapepo tuyakemee)
mungu baba tusamehe tumelewa
hii dunia kuna watu wanaboa
mungu baba tusamehe tumekunywa
hii dunia kuna watu wanakera
mhisu!
shikilii papapapapapolipo
(shikilii papapapapapolipo)
kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa
kwani mi nikifanikiwa nini unapungukiwa
shikilii papapapapapolipo
(shikilii papapapapapolipo)
wasiopenda mimi kufanikiwa wote mavavayo
vaa vavavavayo
aii eeeeh!
uuu uuh uuh!
eeh!
wasiopenda wewe ukifanikiwa wote vavayo
vaa vavavavayo
eeeih ueh!
kamix laiser
Random Lyrics
- alunah - strange machine lyrics
- michelle treacy - easy money lyrics
- whiten - bounce lyrics
- paul partohap - bila kau katakan lyrics
- permanent marker - der hofnarr lyrics
- your stepdad - nostalgia lyrics
- neapolis ensemble - vulesse addeventare 'nu brigante lyrics
- bmb jay - intro lyrics
- megvn, alex collins - take u down lyrics
- thaplayboy - way2long lyrics