willy paul feat. alikiba & ommy dimpoz - nishikilie lyrics
oooooh,deka kifuani mw-ngu
oooooh,
poze,poze (tedy b)
uh baby,nimekupenda kwa ndani
nikupeleke mombasa kwa joho
tukakule na raha mamaaa.
michezo ya zigizigi ya kiw-llyw-lly mamaaa
utapenda cherie ooh!.nitavyojikaza
nikaribie nikueleze,navyohisi moyoni mw-ngu bebe
baby ukinitouch,me napigwa na butwaa!
tukigombana,me napatwa na huzunii
ukiniacha mie,nitaumia moyonii
njoo nikugawie,nikugurumishe
uuuh beibee! nikugawie,nikugurumishe (uuh)
(ali kiba & w-lly paul)
basi mie,nik-mbatie nishikilie (ah)
deka kifuani mw-ngu,
nik-mbatie nishikilie ee.
lala kifuani mw-ngu
nik-mbatie nishikilie (nik-mbatie eee)
deka kifuani mw-ngu nik-mbatie nishikilie eee… lala kifuani mw-ngu
(ommy dimpoz)
kama moyo ungekuwa,kitabuuu
ningekupa usome ee
ooh! kama moyo ungekuwa,kitabuuu
ningekupa usomeee
basi unipe majigijigi majigijigi
twende wote mamaa
michezo ya zigizigi ya kiw-lly w-lly
twende wote mamaa
aleh unipe majigijigi majigijigi
twende wote mamaa
michezo ya zigizigi ya kiw-lly w-lly
twende wote mama
(ali kiba & w-lly paul)
basi mie nik-mbatie,nishikilie (ah)
deka kifuani mw-ngu
nik-mbatie,nishikilie ee
lala kifuani mw-ngu
nik-mbatie(nik-mbatie yeah)nishikilie
deka kifuani mw-ngu
nik-mbatie,nishikilie ee
(all)
jinsi ulivyo madoido lolo
ni mwendo uleule eh
na jinsi navyopenda ulivyoo
ni mwendo uleule eh
mh ma darling walolileeee yeh yeh yeh
unanikosha roho oo
ni mwendo wa madoido oh
my lover,my honey ooh
my baby,my sweet potato
my honey oh,my honey eh
ni mwendo wa madoido ooh
ma ah!!.
my one and only lile lile ee
my sweet ooh ooooh nik-mbatie eh
lala kifuani mw-ngu wooouuuooh
mwendo wa kinyongaaaaa woouuuoh
ayahyahyah… uh baby
ali oooh,ali yoyo(ye baba,wallah tena,eyo)
w-lly poze, poze
dimpoz pozi ko pozey
poz kwa mapozi
nik-mbatie,nishikilie kifuani mw-ngu uuuh.
over.
by grace tyno.
Random Lyrics
- holy kidd - époque lyrics
- agamendon - invading lyrics
- kesha - raising hell (steve james remix lyrics
- adam again - deep lyrics
- avi buffalo - where's your dirty mind lyrics
- gerhard schöne - tagesbuch lyrics
- los temerarios - sinfónico lyrics
- pate moovi - älläwi lyrics
- bob dylan - come all ye fair and tender ladies lyrics
- wolfspelz - zu zweit lyrics