willy paul - kidogo lyrics
walahi mi sikupandana
mabinti warembo lakini sikuguzana
walahi mi sikupandana
mabinti warembo lakini sikuguzana
my heart is bleeding sinyorita
moyo unabomoka sinyorita
my heart is bleeding sinyorita
moyo unabomoka sinyorita
simu ilipolia nilikuwa high
ju ya maji nilikuwa high
ilipolia tena nilikuwa ngwai
juu ya moshi nilikuwa ngai
ngoja kidogo
ngoja kidogo kidogo mama (ngoja kidogo)
ngoja kidogo
ngoja kidogo kidogo mama (ngoja kidogo)
my sinyorita, sisi maria
ngoja kidogo (ngoja kidogo)
my sinyorita, sisi maria
ngoja kidogo (ngoja kidogo)
usifanye baby nipandwe na presha
ama ugonjwa wa sukari
ninavyojijua mpenzi siwezi kucheza
i’ll never do that to yah
hio sikatai mayeng walikuwa wengi
walikuja na mambogi walikuwa wengi
na mapedi, walikuwa wengi
walikuja na mashisha walikuwa wengi
hata watu wakigombana wakipandana
nilitulia kwenye kona sikutetema
hata watu wakipepeta, wakipepetana
nilitulia kwenye kona sikupepetana
ngoja kidogo
ngoja kidogo kidogo mama (ngoja kidogo)
ngoja kidogo
ngoja kidogo kidogo mama (ngoja kidogo)
my sinyorita, sisi maria
ngoja kidogo (ngoja kidogo)
my sinyorita, sisi maria
ngoja kidogo (ngoja kidogo)
where is the trust
where is your trust you
where is the trust
where is your trust you
nimekubali nilikosеa yah yah
nimekubali nilikosea yah yah
ngoja kidogo
ngoja kidogo kidogo mama (ngoja kidogo)
ngoja kidogo
ngoja kidogo kidogo mama (ngoja kidogo)
my sinyorita, sisi maria
ngoja kidogo (ngoja kidogo)
my sinyorita, sisi maria
ngoja kidogo (ngoja kidogo)
Random Lyrics
- schattenmann - jeder ist schlecht lyrics
- sawthemaster17 - answers lyrics
- secret company - mercury lyrics
- żywiołak - do licha lyrics
- carlenndoo - невозможно (impossible) lyrics
- la firma & eydrey - ilusionada lyrics
- drux & pradaaslife - touch your soul lyrics
- the residents - part four: never known questions lyrics
- bnkr44 - scritto per te lyrics
- nels (fr) - ca change pas lyrics