azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

willy paul - moyo lyrics

Loading...

kuna muda unakaa
unapata unamuwaza sana mtu flani (pozee)
yani usipo muona hata sekunde moja (saldido)
una gonjeka vibaya
mmm nashangaa
mbona nahisi baridi
usiku mwenzako silali
mchana hata sitembei
wamenipima ugonjwa wa moyo
wamesema imejaa simanzi
niarakishe nipone haraka
sitamake it (sitamake it)
uuu wewe ndo panadol
my paracetamol
uu baby, uu baby
uuu wewe ndo panadol
my paracetamol
uu baby, uu baby

unasumbua moyo
unasumbua (moyo)
unasumbua moyo
unasumbua (moyo)
unasumbua moyo
unasumbua (moyo)
unasumbua moyo
unasumbua (moyo)
nimekuwaaaza mpaka nikaganda uboongo
ubongo unalipuka
nafsi inanisuta
eeeee
uu wamefanya utafiti wa ndani
wakapata niwe ndiwe dawa
yakutibu mutima w+ngu maa…ma
usiwache nife hivi ma…ma
uuu wewe ndo panadol
my paracetamol
uu baby uu baby
uuu wewe ndo panadol
my paracetamol
uu baby uu baby
unasumbua moyo
unasumbua (moyo)
unasumbua moyo
unasumbua (moyo)
unasumbua moyo
unasumbua (moyo)
unasumbua moyo
unasumbua (moyo)
uu… baby
washanambia nikuwachage
kama mate nikutemage…
bado nakupenda tu day bay day
(bado nakupenda tu day bay day)
karibu kukuwacha siwezi…
akilini hautoki
kweli baby we ndo pedi wa mapеnzii (pedi wa mapenzi)
uuu wewе ndo panadol
my paracetamol
uu baby, uu baby
uuu wewe ndo panadol
my paracetamol
uu baby uu baby
unasumbua moyo
unasumbua (moyo)
unasumbua moyo
unasumbua (moyo)
unasumbua moyo
unasumbua (moyo)
unasumbua moyo
unasumbua (moyo)
mo mo mo mo moyo
mo mo mo mo moyo
mo mo mo mo moyo
mo mo mo mo moyo
mo mo mo mo moyo
mo mo mo mo moyo
mo mo mo mo moyo
mmm mo mo mo moyo



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...