willy paul - njiwa lyrics
wily wily wily w+lly pozee
na nandy dandy
[verse 1 : w+lly paul]
kama utaenda angalia pa kutua
kwenye bati au bustani ya maua
mwambie nampenda ananisumbua
mwambie nampenda j+po kauchubua njiwa
peleka salamu salamu zangu
me sina khali naona mawingu
nyota nyota mwezi kizunguzungu
khali sio shwari haki ya mungu
[pre chorus : w+lly paul]
nimeshazama kwenye penzi
naweza sema nimepagawa
mwambie sijiwezi ohhhh
[chorus : w+lly paul & nandy]
where are you ? where are you ?
where are you ? njiwa
where are you ? where are you ?
where are you ? njiwa
njiwa njiwa
njiwa njiwa
njiwa njiwa
njiwa njiwa
[verse 2 :nandy]
mwambie sio chakula tu hata maji me sinywi
mpaka anatuma watu kina jose mbilinyi
na hizo kauli zake tu ananikata maini
anachеza karata tatu hata aniamini
[pre chorus : nandy]
nimeshazama kwenye pеnzi
waweza sema nimepagawa
mwambie sijiwezi
aje mapema anipe dawa
nimeshazama kwenye penzi
waweza sema nimechachama
mwambie sijiwezi
aje mapema anipe dawa
[chorus : w+lly paul & nandy]
where are you ? where are you ?
where are you ? njiwa
where are you ? where are you ?
where are you ? njiwa
njiwa njiwa
njiwa njiwa
njiwa njiwa
njiwa njiwa
where are you ? where are you ?
where are you ? njiwa
where are you ? where are you ?
where are you ? njiwa
njiwa njiwa
njiwa njiwa
njiwa njiwa
njiwa njiwa
where are you ? where are you ?
where are you ? njiwa
where are you ? where are you ?
where are you ? njiwa
njiwa njiwa
njiwa njiwa
njiwa njiwa
njiwa njiwa
Random Lyrics
- midnight.mp3 - excuse lyrics
- dietriaf warnkson - my fart in your mouth lyrics
- morfydd llwyn owen - sweet & low lyrics
- el café atómico - the barinas chainsaw massacre lyrics
- max b - all i do is cry lyrics
- hypnoticsmiley - mamma lyrics
- kettama & real lies - purple hearts lyrics
- b11110ns - r3laps3 lyrics
- martin garrix & avicii - back in time vs. waiting for love lyrics
- butter bath - please don't be mad lyrics