willy paul - poromoka lyrics
congratulations, kwa kufanya wanaume hawalali
congratulations, kwa kufanya wanaume wakose amani
twende nik+make usimame, coz baby you are so fine
baby do you know you blow my mind
oh baby girl you are so fine
girl you dey burst my mind oh
you make me go kakololo
your body fine like wine girl
una nyuma na manengo
congratulations, kwa kufanya wanaume hawalali
congratulations, kwa kufanya wanaume wakose amani
he he hey….kwa kufanya wanaume hawalali
he he hey…. kwa kufanya wanaume wakose amani
uko na nini mama, tunaporomoka
kwa urembo wako mama, tunaporomoka
kwani we ni nani, tunaporomoka
unajiweza sana, tunaporomoka
uko na nini mama, tunaporomoka
kwa urembo wako mama, tunaporomoka
kwani we ni nani, tunaporomoka
unajiweza sana, tunaporomoka
the way your body been unatuconfuse
ah unatuseduce
mama kidogo reduce, coz unatuconfuse
na baby ukinipea nitang’ang’ana
aii nitang’ang’ana
hapa kazini nashindwa
nipee hata kwenye kiti
oh nimeshindwa kidogo nilambe
uliumbwa na maji ya moto
baby we moto, na huna tabia mbaya
uko sawa mama
congratulations, kwa kufanya wanaume hawalali
congratulations, kwa kufanya wanaume wakose amani
he he hey….kwa kufanya wanaume hawalali
he he hey…. kwa kufanya wanaume wakose amani
uko na nini mama, tunaporomoka
kwa urembo wako mama, tunaporomoka
kwani we ni nani, tunaporomoka
unajiweza sana, tunaporomoka
uko na nini mama, tunaporomoka
kwa urembo wako mama, tunaporomoka
kwani we ni nani, tunaporomoka
unajiweza sana, tunaporomoka
unafanya nawashwa mpaka kwenye nini
unafanya ah nijikune mama
unafanya nawashwa mpaka kwenye nini
unafanya ah nijikune mama
unafanya nawashwa mpaka kwenye nini
unafanya ah nijikune mama
unafanya nawashwa mpaka kwenye nini
unafanya ah nijikune mama
congratulations, kwa kufanya wanaume hawalali
congratulations, kwa kufanya wanaume wakose amani
he he hey…. kwa kufanya wanaume hawalali
he he hey…. kwa kufanya wanaume wakose amani
uko na nini mama, tunaporomoka
kwa urembo wako mama, tunaporomoka
kwani we ni nani, tunaporomoka
unajiweza sana, tunaporomoka
unafanya nawashwa mpaka kwenye nini
unafanya ah nijikune mama
unafanya nawashwa mpaka kwenye nini
unafanya ah nijikune mama
Random Lyrics
- jack botts - sucker for sunsets lyrics
- the coolest jose - yugi moto lyrics
- brndn dyln - tu mente lyrics
- eiburie - out lyrics
- extermination dismemberment - corpsepit lyrics
- ni/co (usa) - bag it lyrics
- инсомни (insomni) - айс авеню (ice avenue) lyrics
- alexa valentino - bleed lyrics
- jahphy - intro lyrics
- dylan brewer - deep thoughts (freestyle) lyrics