willy paul - tupewe pombe lyrics
pozze
leo si ni leo si ni
tebby b
leo si ni friday
leo si ni friday
leo si ni friday tupige sherehe
friday piga sherehe
leo si ni friday tupige sherehe
friday piga sherehe
mtoto pewa pombe kunywa pombe
lewa lewa kunywa pombe
inama chini kunywa pombe
shika rungu kunywa pombe
watu wa gilbeys, tupewe pombe
watu wa changaa, tupewe pombe
watu wa konyagi, tupewe pombe
watu wa guarana, tupewe pombе
ma panty removers, eeh
watu wa hennеsy aah
asante, waiter asante
thankyou so much unaeza ishia
kwa mabega (eeh) kwa matako (eeh)
kwa katumbo chapa chupa
kwa mabega (eeh)
kwa matako (eeh)
kwa katumbo chapa chupa
leo si ni friday
leo si ni friday (tupewe pombe)
leo si ni friday tupige sherehe
friday piga sherehe
leo si ni friday tupige sherehe
friday piga sherehe
mtoto pewa pombe kunywa pombe
lewa lewa kunywa pombe
inama chini kunywa pombe
kila mtu apige story yake ya pombe
mimi nikilewa mi huona niko london
aki walai si mi napenda pombe
mimi nikilewa nakuw+nga dunia yangu
naona raila ni baba yangu
siste na we (pombe ni bae)
siste na we (pombe ni bae)
na hata zikishika sikuw+ngi mloose
asante, waiter asante
thank you so much unaeza ishia
watu wa gilbeys, tupewe pombe
watu wa changaa, tupewe pombe
watu wa konyagi, tupewe pombe
watu wa guarana, tupewe pombe
ma panty removers, eeh
watu wa hennesy aah
asante, waiter asante
thank you so much unaeza ishia
kwa mabega (eeh) kwa matako (eeh)
kwa katumbo chapa chupa
kwa mabega (eeh) kwa matako (eeh)
kwa katumbo chapa chupa
leo si ni friday
leo si ni friday (tupewe pombe)
leo si ni friday tupige sherehe
friday piga sherehe
leo si ni friday tupige sherehe
friday piga sherehe (tupewe pombe)
shiko ni kama nimeibiwa simu, we umelewa
gai ako wapi brayo?
hio ni pombe
ako wapi kevo? kevo ni baba ako?
wanaume hutumia watu vibaya
ata wewe unawatumia vibaya
si umekula pesa yao
umekunywa pombe yao
vumilia bana
Random Lyrics
- primavera de praga - la peor noche lyrics
- gwen guthrie - dance fever lyrics
- ryan adams - electro snake lyrics
- idkjack - heart lyrics
- saske (grc) - ena vradi lyrics
- cross point music - better lyrics
- abrildefresa - toloqves lyrics
- limp bizkit - getcha groove on (dirt road remix) lyrics
- expeditto - garoto de sp lyrics
- datbussajumbo - neva safe! lyrics