azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wizzy mp - fall in love lyrics

Loading...

[verse 1]
ok baby, stop, punguza gear
raha unazonipa, kwako ndo nishajifia
yeah, wanaumia roho wanaotuchukia
chunga usije niacha, mommy, watanifukia. (yeah)

ndo unafanya wajiulize
kipi nimefata kwa wewe
kwako lazima niwe busy
usije kwenda far away. (mh)

baby, baby, baby huu
ni wewe pekee ndo unaniweka roho juu

kwenye moyo, kwenye akili, umetawala wewe
safari yetu ya mapenzi, dereva ni wewe
kuwa makini njiani, usije ukaniacha mwenyewe
utanifanya niwe crazy ama mlevi nilewe

[chorus]
kwako nime fall in love
kwako nime fall in love
kwako nime fall in love
kwako nime fall in love

[verse 2]
umenishika akili, mpaka mwili
umeniita, nimeitika, only
lonely, usiniache lonely. (mmh mmh)
acha nikusifu kwanza, we ni beautiful
(2) you’re only mine
(3) you look so fine. (you look so fine)

my mommy told me, we ndo unanifaa
utaniumiza ukinikataa
ni wewe tu, my baby buu. (my baby buuuh)

kwenye moyo, kwenye akili, umetawala wewe
safari yetu ya mapenzi, dereva ni wewe
kuwa makini njiani, usije ukaniacha mwenyewe
utanifanya niwe crazy ama mlevi nilewe

[chorus]
kwako nime fall in love
kwako nime fall in love
kwako nime fall in love
kwako nime fall in love



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...