wizzy mp - mama lyrics
intro
maaamama jamani maaamama
verse 1
hatusemi vibaya kwamba mi sina baba
maana baba sio jina ila huduma kuhudumia
kila siku dona kooni ndio kuna kabaa
kula rakaa moja na siku ndio inatoka
vipi nikujibu mama
ukinituma nibishe na bakora lawama
ukisema unichape nikinuna nasepa
na kula nisuse vyoote
ulikaa na mwanao nijirekebishe
kw+ngu umefanya mema mwanao nijiridhishe
asa mimi nitakulinda kwa ngao yangu jifiche
chorus
ohh nakupenda sana mamaaaa
nani kama mama maaana
hakuna kama mamaa hapa duniani
ukimdharau mama saana
bwana hutakosa radhi laana
ohh nakupenda sana mamaaaa
nani kama mama maaana
hakuna kama mamaa hapa duniani
ukimdharau mama saana
bibi hutakosa radhi laana
verse 2
nikik+mbuka ya nyuma na chozi linanitoka
ulipigana vita mwanao sikuteseka
maaana mengi magumu na mabaya ulinikemea
j+po huna kazi ila nguo ulinunulia
ili nipate amani ya moyo kufurahi
nicheze kama wenzangu maringo kujidaii
vipi nikuseme hadharani mama huna thamani
na langu jicho ndio wewe mboni ipo kwa ndani
ukisema uniache mwenyewe ukungu mbele sioni
nagonjwa langu mwenyewe presha unapata wewe
na k+mbe ng’ombe wa f+kara hazaii
nikitaka soda mama ulinipa chaiiii ninywee
chorus
ohh nakupenda sana mamaaaa
nani kama mama maaana
hakuna kama mamaa hapa duniani
ukimdharau mama saana
bwana hutakosa radhi laana
ohh nakupenda sana mamaaaa
nani kama mama maaana
hakuna kama mamaa hapa duniani
ukimdharau mama saana
bibi hutakosa radhi laana
intro
huna mama ata mjomba ni mama
kama mama na ucheze ki mamaaaa
kama baba na ucheze ki bababaa
huna mama ata mjomba ni mama
kama mama na ucheze ki mamaaaa
kama baba na ucheze ki bababa
Random Lyrics
- diamond plantnumz - gere lyrics
- rio thomas - my heart lyrics
- hallowed - desiree lyrics
- flap - take off my dress lyrics
- tk from 凛として時雨 & milet - future tone bender lyrics
- flowgli - negan lyrics
- jána (swe) - joyride [remix] lyrics
- игорь азовский (igor azovskiy) - лена (lena) lyrics
- emma hamel - after the credits roll lyrics
- ≠me (jpn) - まほろばアスタリスク (mahoroba asterisk) lyrics