wizzy mp - waambie lyrics
(intro)
sukii
yeeyeyeye ohoohoo
far to the far way
(chorus + ivan tz)
waambiee kuna leo na kesho
pia kuna kuzaliwa na kifo
vicheko na matusi vyote mapito
usivunjike moyoo
kuna leo na kesho
pia kuna kuzaliwa na kifo
vicheko na matusi vyote mapito
usivunjike moyoo
(verse + vex wakinyo)
ni asubuhi k+mekucha nashtuka natupa shuka
kisha namshukuru mola kwa nafasi aliyonipa
ujasiri maarifa hekima na busara ndo maisha
daima ridhiki mafungu naamini la kw+ngu lipo
na sichoki k+muomba mungu ili pato lije kwa jasho
chuki na majungu napitia ni changamoto
maana maombi ya walimwengu nisitoke kwenye msoto
naongeza juhudi katu sitokata tamaa
nakesha mithiri ya bundi nimezaliwa shujaa
nadunia ni njia ynye mapana kila pande
lengo na nia nikusujudu sio utambee
ujigambe kisa mali au jina ukapagawa
mpaka jaah ukankosea heshimaa yeaah
(chorus + ivan tz)
mwambie mwambiie mwambiiieee
waambiee kuna leo na kesho
pia kuna kuzaliwa na kifo
vicheko na matusi vyote mapito
usivunjike moyoo
kuna leo na kesho
pia kuna kuzaliwa na kifo
vicheko na matusi vyote mapito
usivunjike moyoo
(verse + wizzy mp )
maisha safari hapa duniani tunapita
nasimama ngangari maana mengi yanatisha
namuomba mungu na ipo siku atanipa
w+nga ongezeni majungu nina imani nitapata
vilio vicheko havinivunji moyoo
kusema kuchukiwa vidole kunyooshewaa
waalimwengu hawana dogo wanapenda kuongea
nipatacho ata kidogo roho zao wanachukia
mimi napambana usiku mchana kutafutaa
nimezaliwa shujaa haina budi kuhangaika
nachakarika harakati kupiga kazii
ukikwama usipagawe kisa ukilema na maradhi
maisha juu fumbo jibu lako
muheshimu kila mmoja coz nimuhimu kwako
usipagawe kisa pesa na madini
hata ukijanga angani ukifa utazikwa chini
(chorus + ivan tz)
mwambie mwambiie mwambiiieee
waambiee kuna leo na kesho
pia kuna kuzaliwa na kifo
vicheko na matusi vyote mapito
usivunjike moyoo
kuna leo na kesho
pia kuna kuzaliwa na kifo
vicheko na matusi vyote mapito
usivunjike moyoo
Random Lyrics
- brook benton - gone lyrics
- daine - comes and goes lyrics
- hornet's daughter - smoke! lyrics
- trophy - mandate rollout. lyrics
- harrysong - suya lyrics
- jewwek - i hate jeww lyrics
- yungkulovski & teya dora - zavejan lyrics
- kane roberts - you always want it (1999) lyrics
- я.сгорел.дважды. (i.burned.out.twice) - кости (bones) lyrics
- super sako - ur gnam lyrics