xhatoh - domo nzege 01 lyrics
domo nzege i lyrics
intro
yeah
xhatoh
domo nzege part 01
verse
siku moja kwenye party la
mtaani
ni l ipul l up na wanangu i l i tupate
mivinyo. i le tumekaa punde si
punde l ikapita kundi la mashori
mbele yetu si ndo wakakaa
bwana
mar a ghafla nikaona shori
namba 8 mtoto mzuri sur a
mweupe
apo apo nikapagawa
nikaogopa nikadata hi i nini
sasa inanitokea
kama nusu saa macho ivi
macho nmekodoa
wahuni wakaniul iza xhatoh
uko sawa?
k wa mbwembwe zote
nikawambia oya niko sawa
k+mbe siko sawa
moyo umepagawa
mwil i upo apa
moyo umeota mbawa
kisa tu kidawa
mambo hayapo sawa
inaonekana ni mzuri hata
asubui asiponawa
ikitokea kapika ntakula bi la
kunawa .maana nishapagawa
haya basi pati ikaanza pale
nikapiga tungi na wanangu
tukapiga story nyingi . nyingine
za uongo afu hata hatupingi
akati maendeleo na pombe
nikajiul iza nimfwate (mh mh)
nikaul iza moyo ukasema
kwa kishindo nikanyanyuka
l iwalo na liwe .lolote li le
chochote ki le atachotaka kiwe
ntafanikisha cha msingi niwe
nae
basi nikamfwate palе shori
mambo akajibu poa
wakati rafiki zangu na rafiki
zake wote macho wamekodoa
wotе wakitamani waone
anani joboa. sio poa jasho
inatoka sjui
atanich0m+lea(atanikata)
huku naogopa kuambiwa toka
kisa uoga basi mimi nikaropoka
naku…………..
naku……………
nikasema nakuja mzee….
bi la uoga nikaropoka nakuja
wanangu hawani ita i la mimi
nikaitika nakuja
mbele ya manzi(shori) mwi l i
umekufa ganzi . waziwazi kwel i
mi kiazi
narudi kwenye gang. (washkaji)
amkeni amkeni kurudi bi la
namba mkononi ana chupa
tupu ya hainkein then
tumchekeni huyu jameni
mda uo mi kichwa chini
pombe zimeisha kichwani kisa
aibu imebaki aki l i yangu mimi
ivi mimi pale ni l ifata nini?
zaidi ya nusu saa mbele ya
mtoto si jasema chochote
siamin
nimefanya nini?
niende tena nini?
diablo made hit
Random Lyrics
- jerry vale - with a song in my heart lyrics
- testa - available lyrics
- jack dice - channel eighteen lyrics
- marcos antonio - situação lyrics
- sia & david guetta - floating through space (jim ouma remix) lyrics
- somy blaq - taxin' lyrics
- adriana petrossian - do you notice me lyrics
- hillsong worship - search me o god lyrics
- keshavara - ayukah lyrics
- aries buzzed - trapshxt lyrics