xhatoh - tagi lyrics
xhatoh + tagi ft brian simba
intro
issa gang gang sh+t xhatoh & brian simba
diablo made hit
we lit
chorus
gang gang kinouma
sholi huna swagg
huwezi ball nasi toka
kama unavotuona daily tunadrip gucci ,lui v ni noma
kama huj+penda we dont care kiflex ndo hatuachi amsorry
njo uone tunavodance,njo uone tunavovaa
god d+mn we good
verse 01 (xhatoh)??
mi na wanangu, tukiwa street, tuko bize fuatilia utapata uchizi,tukipata tunachoma nyama choma noma eeh?
is juxt a teaser,=0ana tunask+ma ndinga kali hatuna habari machachari hatujawai igiza
na hatufanyi vitu visio na faida yoh
kuhusu siri zako keep them on ur self
i’ve been feelin good penda unyama toka mdogo mdogo
so ukija leta ushamba kw+ngu mi snitch ntakblock
ok ok go showty=0ankwogope? acha utani=0anikuskize!! we kama nani ukiniotea ndio utaniona mi
nna unyama mnyama kila sehemu mimi
sijali rika mi naflex tu=0augonjwa gan umenipaata mi
usiombe sasa ukinikuta na
chorus
gang gang kinouma=sholi huna swagg ,huwezi ball nasi toka
kama unavotuona daily tunadrip gucci ,lui v ni noma
kama huj+penda we dont care kiflex ndo hatuachi amsorry
njo uone tunavodance,njo uone tunavovaa
god d+mn we good
verse 2 (brian simba)??
bonge moja panki na kashati
kama martin kwenye badboys
nacheza snake kwenye tochi siringishi bonge moja android
pisi i phonе kali picha nyingi lakini haina bando
niwashe hotsport wanigande mbaka geto kama chambo
bapa bе the marination so see chicks waliwe kama nandles
kila size kubwa ndogo kati ka vichupa vya jambo
n+ggers roll sam b we miss u mwanangu ulisepa kitambo
fanya kurudi maana waliobaki huku hawajui izo mambo
chorus
gang gang kinouma=sholi huna swagg ,huwezi ball nasi toka
kama unavotuona daily tunadrip gucci ,lui v ni noma
kama huj+penda we dont care kiflex ndo hatuachi amsorry
njo uone tunavodance,njo uone tunavovaa
god d+mn we good
autro
god d+mn we good
we f+ken good
d+mn
all rights receaved ©2020 under diablo records
production credits?
beat by depo beats
written by xhatoh & brian simba
mixed by xhatoh & lucifer & khan star
masterd by lucifer
cover art & visulaizer by xhatoh
under diablo™ studios
all rights receaved ©2020 under diablo records
spotify through https://open.spotify.com/playlist/00n…
soundcloud through https://soundcloud.com/xhatoh+cuctus/…
audiomack through https://audiomack.com/blokmalebanga18…
Random Lyrics
- speed - surprise lyrics
- wugori x gonsalocomc - trolley lyrics
- stuck - wrong question lyrics
- old g - g noktası lyrics
- sounxstate & moyan - alone lyrics
- kaitlyn nicole - wishful thinking lyrics
- genevieve - my real name lyrics
- jumbotown - making of harvest lyrics
- insulter - black blood desecration lyrics
- nerdout - long live the king lyrics