xtīg£r - chafua meza lyrics
chafua meza
saba gang x montaya gang
jea jea! jea jea! saba gang! gang! gang!
montaya gang! chafua meza! xtīg£r on the beat!!
[chorus : smart vella]
chafua meza ju bado nimeweza
ju bado nimebeba na mbosho nimeshona
mi ndo kusema waiter chafua meza
chafua meza we! chafua meza
chafua meza ju bado nimeweza
ju bado nimebeba na mbosho nimeshona
mi ndo kusema waiter chafua meza
chafua meza we! chafua meza
[verse 1 : twi bwoy]
ushai skia mnati amebambwa na ngwati
na bado mi ni ngati nakundinya kwa mabati
mangoko wametoka itabidi tuwateke
niko ketepa sidai kukatema
heri niheme nirombosewe mariambez
na genge ni moto…mamboto ni moto
mangoko ni moto…shiro ana majoto
leta utoto ….upigwe maviboko!!
[verse 2 : brayo]
nakaa hii side!
cheki venye imecrowd inapenda ngale
jo sikam na kimoto na kwa hii band
jo sikam chatichati
rudisha njegi, ukirusha zijiseti
na ka hupatipati ngwati fom na manjegi
bana nitakasaka mpaka nikapate huko mushatha
ni ngori kwa rodi kapee mpaka toto
mkanyange finyuu!! abaaki akiwhistle!!
[chorus : smart vella]
chafua meza ju bado nimeweza
ju bado nimebeba na mbosho nimeshona
mi ndo kusema waiter chafua meza
chafua meza we! chafua meza
chafua meza ju bado nimeweza
ju bado nimebeba na mbosho nimeshona
mi ndo kusema waiter chafua meza
chafua meza we! chafua meza
[verse 3 : smart vella]
shika kachupa waiter ongezea hio glassi
ju design zimeshika nijitepe kabisa aah!
skia genge kwenye speaker inachuna aah!
basi banjuka …zikishika mburuka
kama bazuka ju bado utatuna
natangatanga nipate hio namba
cheki my lady tuweze kujuana
tunajibamba na…. shika kishada
washa kuwasha zishike na kijaba
chafua meza ju bado nimeweza
ngoma ikichuna iskizie kwa kichwa
na jo ukimedii chungana na k+mbleki
[bridge : twi bwoy]
nduta ana matuta
anadai namkuta
na bado namguza maze kwa ukuta
tukiwa tunavuta na bado anauguza…
tukiwa tunavuta na bado anauguza!
[chorus : smart vella]
chafua meza ju bado nimeweza
ju bado nimebeba na mbosho nimeshona
mi ndo kusema waiter chafua meza
chafua meza we! chafua meza
chafua meza ju bado nimeweza
ju bado nimebeba na mbosho nimeshona
mi ndo kusema waiter chafua meza
chafua meza we! chafua meza
[verse 4 : xtīg£r]
ati!
chafua meza nimelandi kibazenga
unadai umeweza ni manjoti nakujenga
saba gang tunaomoka na mistari tunaleta
machupa na mahaga na matembe ninameza
kamnguna nikateke nikakunywe na machupa
rada safi maridadi jeajea ka maua
na nikicheki vella na mamoshi kwa mapua
xtīg£r on the beat na montaya tushauwa!!
[chorus : smart vella]
chafua meza ju bado nimeweza
ju bado nimebeba na mbosho nimeshona
mi ndo kusema waiter chafua meza
chafua meza we! chafua meza
chafua meza ju bado nimeweza
ju bado nimebeba na mbosho nimeshona
mi ndo kusema waiter chafua meza
chafua meza we! chafua meza!!!
Random Lyrics
- just nitrous - termites lyrics
- the academic - smart mouth lyrics
- фіолет (fiolet) - кохана (my beloved) lyrics
- czerwone gitary - każdy pies ma dwa końce lyrics
- mlody blista, damian bonkowski - ranek lyrics
- piggy del rey - pig mask lyrics
- brambetant - realiteit lyrics
- nlo - выходи (come out) lyrics
- madness on tha block - sucklaw lyrics
- czerwone gitary - licz do stu lyrics