xtīg£r - dundaa lyrics
dundaa
xtīg£r_ft_smart vella
jea jea…. saba gang! (puffs smoke) sshhhh…
[bridge : xtīg£r]
ni wikendii zishikie tu kwa dundaa
ni k+medii niko bash na manguna
ni k+mbleki na mashash zimerunda
ati pewa glass pewa ass pewa thutha
[chorus : smart vella] x2
kanapenda kuinama kakizungusha haga
na daily kamenyanya kapate kwenye dundaa
nipate dundaa nikivunja mifupa
na daily zimerunda na kajaba alutaa
[verse 1 : smart vella]
kujinice na wasupa ndo fom ya dundaa
mkatishee mizinga amalize na machupa
napenda hio style mummy kwanza unavyokata
ju niko dundaa… katikati ya wasupa
zimenishiiika, naskia k+mburuka
ambia dj, pull up! pull up! pull up hiyo ngoma
na mbogi itazitoka
madame wakirombosa
mashadda zikiwaka…
nikikata maji na glass mezani
dundaa inashiika dundaa inanice
waambie wakam nao
[bridge : xtīg£r]
ni wikendii zishikie tu kwa dundaa
ni k+medii niko bash na manguna
ni k+mbleki na mashash zimerunda
ati pewa glass pewa ass pewa thutha
[chorus : smart vella] x2
kanapenda kuinama kakizungusha haga
na daily kamenyanya kapate kwenyе dundaa
nipate dundaa nikivunja mifupa
na daily zimerunda na kajaba alutaa
[verse 2 : xtīg£r]
napenda zikitwеrk zikikam hii side
napenda zikiwaka na mamoshi ndani ya club
zimenice…. nipe glass na hizo ice
msupa whine… ameiva na kingwai
na hizo njegii…amebeba simuweki
napenda hio figa magizani utawika
ati sunday kamjengaa
thondeka mawegaa
shake hio dinaa…mbona unaringa
kwanza kwenye rinda na vile una figa
ati unaogopa mimba, nitakukemba
bila cd ama movie kwenye keja
baki na bra hebu toa weather
nikukembe jo vile umeweza
kwenye njegii.. pia haga umebeba
[chorus : smart vella] x2
kanapenda kuinama kakizungusha haga
na daily kamenyanya kapate kwenye dundaa
nipate dundaa nikivunja mifupa
na daily zimerunda na kajaba alutaa
[bridge : xtīg£r]
ni wikendii zishikie tu kwa dundaa
ni k+medii niko bash na manguna
ni k+mbleki na mashash zimerunda
ati pewa glass pewa ass pewa thutha
[chorus : smart vella] x2
kanapenda kuinama kakizungusha haga
na daily kamenyanya kapate kwenye dundaa
nipate dundaa nikivunja mifupa
na daily zimerunda na kajaba alutaa
[outro : smart vella]
ati dundaa inashiika
dundaa inanice
waambie wakam nao
tujinice kujinice
jea!
Random Lyrics
- phạm lịch - crush love (remix) lyrics
- yur mum (uk) - what do you want lyrics
- joven certero - la línea lyrics
- zfeelz - disappear lyrics
- wavves - the blame lyrics
- liquiid vortex - broken lyrics
- fryczu - spacer lyrics
- delafaye - ultraviolent lyrics
- капитан морж (captain walrus) - бибика (bibika) lyrics
- sonny fodera - nah lyrics