yammi - hayanogi lyrics
[intro]
kimambo on the beat
mmmm
[verse 1]
taarifa zangu unajua, wazi zinakufikia
hii si kawaida nateseka mwenyewee moto umeungua
najua, najua, najua, ningumu kujirudia
maana baada ya wewe, waliofata wote hazikushika hisia
siku nikikuona mtakuk+mbatia kwa raha
mana dalili yakupona nishajiona sina
naushakoka moto wakunichoma, utazami nyuma
naushapata tulizo la moyo, unipendi tena
[pre chorus]
namapenzi hayajaribiwi, nishajaribu kwingine
nimeshindwa k+maintaini
mimi nakutaka wewe na siyo mwengine
basi tafutie tafutie visababu muachane tuludiane
nimeshindwa jikaza, niona bora nikuchane leo
[chorus]
hayanogi hayanogi
maisha yangu bila wewe
hayanogi
hayanogi hayanogi
usingizi w+ngu bila wewe
hayanogi
aah
[verse 2]
ningepata hasara, uwenda swala la muda kuteketea
ningempata wakunishika mkono, zahiri wazi najionea
hivi huna huruma, auna hata muda wakunifikilia
nimefika kikomo nimeweka mgomo naweka wazi nayoongea
hivi atanikifa nitaеnda kuzikwa nani ?
mambo yamebadilika, aupo kama zamani
ile kupanda shuka, unanijia usingizini
mi kw+ngu pamechacha upataki upatamano lеo
[pre chorus]
namapenzi hayajaribiwi, nishajaribu kwingine
nimeshindwa k+maintaini
mimi nakutaka wewe na siyo mwengine
basi tafutie tafutie visababu muachane tuludiane
nimeshindwa jikaza, niona bora nikuchane leo
Random Lyrics
- stef kamil carlens - the future lyrics
- kevin sten - poussière de minuit lyrics
- dukey - what do we do on the kacky server lyrics
- 7ari & ramoon - denya lyrics
- rubi (rus) - тост за твои глаза (a toast to your eyes) lyrics
- wishyy - let's just dance lyrics
- muillet - flight lyrics
- t3nga - free my ride lyrics
- jackson dean - heart on the range lyrics
- alyx (tyberalyx) - blooming day lyrics