azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

young daresalama - love lyrics

Loading...

verse 1 ( young daresalama)

nauliza why kitaa sikuhizi wana hawana raha

wanamind hadi picha nilizo post instagram

women lie, men lie ila pesa ndio tamu

we endelea kuchukia tu mbona utatia adabu

hata usipojibu ila ndo nshakusalimia

sina roho kama yako mwenzako nakuzimia

chukua tano chukua beer na ukishindwa ntalipia

yeah ah ha hah na kwenye show leo utaingia free

mwingine hata hanijui ila anasema mi ni adui

sijui nini anapata ila hiyo hainisumbui

ndio maana nasali kila asubuhi

nisije choka kuwa paka kesho nikageukaga chui
chorus { young daresalama }

why you wanna hate ( hi hater )

kisa i’m gettin’ paid ( yeah i’m gettin’ paid )

more money on the way

na tuna party everyday ( tuna tuna tuna)

spreadin’ love

spreadin’ love

spreadin’ love i’m spreadin’ love ( spreadin’ spreadin’ spreadin’ )

spreadin’ love

i’m spreadin love

verse 2 { rapcha }

i stay real, na mi ni mtoto wa ghetto

washkaji tuki+ball wana hate oh!
na paper chasin’ ndo itatoa kwenye ghetto

kichwani haiwezi toka mentality ya ghetto

mwana hatujawahi hata kuonana ila ana hate tu

hiyo chuki wamekupandikizia basi tu

gonga dislike ila mi nagonga glass tu

siri hazikai vifua vya gym that’s true

nilikua namuona dee kwa tv

na beats za luffa nyingi zili+hit kila street

sasahivi niko studio nakula blunt na young dee

and its all about love, its all about peace

basi tena mambo yakizidi tuliza kichwa

chunga sana unapozini kazini utaunguza picha

hata unikazie sura
mungu atanipa mkate wa kila siku hata mfiche sahani muda wa kula

chorus { young daresalama }

why you wanna hate ( hi hater )

kisa i’m gettin’ paid ( yeah i’m gettin’ paid )

more money on the way

na tuna party everyday ( tuna tuna tuna)

spreadin’ love

spreadin’ love

spreadin’ love i’m spreadin’ love ( spreadin’ spreadin’ spreadin’ )

spreadin’ love

i’m spreadin love



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...