azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

young daresalama - mbutika lyrics

Loading...

wakati mnapendana ilikuwa kale
ilikuwa safi mkiongozana mmegonga sare
sa ivi noma mnadundana hadi kwenye starehe
mwisho wa siku wasio na kitu ndo watasema
nisamehee

macho kwa pesa tu moyo una ganzi
atakupa presha uje kufa kidwanzi
huna pesa, huna hadhi
achana na mapenzi ebu tafuta kazi

chako ni chenu ila chake ni chake
sio kwake, sio kwenu hapo kwenu ni kwake
ati una bwabo la pena
wenzake wanaomwita shemu sidhani mwanake

wewe unajiona umefika
yeye anakuona mbutika
wewe unajiona umefika
yeye anakuona mbutika

mbutika kee mbutika
mbutika, mbutika
mbutika kee mbutika
mbutika, mbutika
mbutika eeh, mbutika, mbutika
mbutika eeh, mbutika, mbutika
mbutika eeh, mbutika, mbutika
mbutika eeh, mbutika, mbutika

hakuna hakuna mjanja wa mapenzi
haruna, fatuma huyo humuwezi
sababu pesa huna ndio maana anakuona ndezi
bora kuchina ukiskia siku hizi uko na dеni

acha ujinga bro rudi nyumbani
usiwe ka mbutika ka yule wa gigy money
ka amеkushinda tabia usipanic
chunga asije kupa kesi ya mauaji

kutwa unalia umekuwa vipi
naskia haujakula so imepita wiki
stress stress unakuwa chizi
ushaongea kila kitu utampa nini?

najua unajiona umefika
mwenzio anakuona mbutika
visa tu kila kukicha
ashapiga simu akute home umepika bro

wewe unajiona umefika
yeye anakuona mbutika
wewe unajiona umefika
yeye anakuona mbutika
mbutika kee mbutika
mbutika, mbutika
mbutika kee mbutika
mbutika, mbutika

mbutika eeh, mbutika, mbutika
mbutika eeh, mbutika, mbutika
mbutika eeh, mbutika, mbutika
mbutika eeh, mbutika, mbutika

(it’s s2kizzy beiby)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...