azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

young daresalama - mshahara lyrics

Loading...

leggo, dream city luffa, paka

mshahara, mshahara
wameshapishana na gari la mshahara
mshahara, mshahara
wameshapishana na gari la mshahara

walisema hakuna vibe mbona sasa shangwe?
wameshapishana na gari la mshahara
waliona hakuna peace wameondoka mbona pambe
wameshapishana na gari la mshahara

ile wanatoka getini mashaka ingiza fuso
wameshapishana na gari la mshahara
eti k+mbe poa hakuna umeme ile kuondoka huo..
wameshapishana na gari la mshahara

mshahara, mshahara
wameshapishana na gari la mshahara
mshahara, mshahara
wameshapishana na gari la mshahara

si walitudharau
wameshapishana na gari la mshahara
baas okay tunawablue tick
wameshapishana na gari la mshahara
walitaka attention watembee mida ya w+nga
ila wakakuta si tushahama kiwanja
pole sana wale mlioninyima namba
habari mnayo nadhani mnaona navyotamba

mshahara, mshahara
wameshapishana na gari la mshahara
mshahara, mshahara
wameshapishana na gari la mshahara

nataka kutoa offa ati kila mtu kivyake
wameshapishana na gari la mshahara
wamemtenga chawa mara kaagiza henny
wameshapishana na gari la mshahara

nilishawaambia wacheni madharau
wameshapishana na gari la mshahara
eti k+mbe poa hakuna umeme, ile kuondoka tu
wameshapishana na gari la mshahara

mshahara, mshahara
wameshapishana na gari la mshahara
mshahara, mshahara
wameshapishana na gari la mshahara

si walitudharau
wameshapishana na gari la mshahara
baas okay tunawablue tick
wameshapishana na gari la mshahara



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...