young daresalama - nimeachwa lyrics
usione niko bar ukaona nakula bata
leo nina mazonge kibao nimeshadata
leta pombe mezani weka bapa
acha niwake hadi niwe nyaka nyaka
ukiuliza nimeachwa, nimeachwa
nimeachwa mwenzenu nimeachwa
nimeachwa mwenzenu nimeachwa
nimeachwa, nimeachwa
mbaya zaidi kweli nilimpenda
cheki navyokonda yeye ananenepa
mbaya zaidi sijui nilichotenda
hadi umeamua kwenda
umeniacha na mawazo
nimebaki na mawazo
umeniacha na mawazo
nimebaki na mawazo
usione niko bar ukaona nakula bata
leo nina mazonge kibao nimeshadata
leta pombe mezani weka bapa
acha niwake hadi niwe nyaka nyaka
ukiuliza nimeachwa, nimeachwa
nimeachwa mwenzenu nimeachwa
nimeachwa mwenzenu nimeachwa
nimeachwa, nimeachwa
issue ilikuwa pesa nikatafuta pesa
nikatafuta pesa, sa nimepata pesa kaniacha navesha
kaniacha na presha, kafanya napesha
ikiisha ongeza
nimebaki na mawazo, nabaki naumia
nakunywa kila alcohol, siwezi vumilia
nimebaki na mawazo, nabaki naumia
nakunywa kila alcohol
usione niko bar ukaona nakula bata
leo nina mazonge kibao nimeshadata
leta pombe mezani weka bapa
acha niwake hadi niwe nyaka nyaka
ukiuliza nimeachwa, nimeachwa
nimeachwa mwenzenu nimeachwa
nimeachwa mwenzenu nimeachwa
nimeachwa, nimeachwa
nimeachwa, nimeachwa
nimeachwa mwenzenu nimeachwa
nimeachwa sijui kwanini nimeachwa
nimeachwa, nimeachwa
usione niko bar ukaona nakula bata
leo nina mazonge kibao nimeshadata
leta pombe mezani weka bapa
acha niwake hadi niwe nyaka nyaka
ukiuliza nimeachwa, nimeachwa
nimeachwa mwenzenu nimeachwa
nimeachwa mwenzenu nimeachwa
nimeachwa, nimeachwa
Random Lyrics
- caleb elliott - no telling lyrics
- ozia, wood cherry, zi:ae, rouno - save me from the dark lyrics
- emiw - soñe con vos lyrics
- eugene tooms - the black door lyrics
- lila gray - smoke break lyrics
- barry b - 40k lyrics
- frankie miller - shakey ground lyrics
- addicted! (rus) - главное - не ссать (the main thing is not to piss) lyrics
- chappaqua wrestling - not in love lyrics
- leats - cold facts lyrics