young killer feat. ben pol & dully sykes - hunijui lyrics
mwenye macho haambiwi tazama askari.
wew kipusa nipitie mbali
ya mussa mpe mussa, hayamuhusu kaisari.
kila mchezo kw-ngu fainali.
magum huyapitiii pekee ako wee.
hakuna ambaye hajaotka mbali.
so usiniletee pressure na kwele.
mipango bila pesa ni kelele.
mwanasesele ongeza kunitukana maan
unamhuk-mu kifo mtu aliyetaka kujiua ikashindikana.
alishasema mama binadamu wabaya
asie anaweza zipa mdomo akajfany hasikiii
dully skyes & ben pol
hook
vizur havitaki pupa vinataka simpo
so leo kesho kuanguka me bado nipo
napata nachotafuta nakosaje diko
ni mwendo wa kuvunja fupa maan meno iko.
msodokiiii
wasiojua dunian njia, me nilikuja nakusep.
ndo maan nikilia dakik mbili 2 nacheka.
najizimia ndo maana namelemeta
ila mungu ndo aliyeniweka na ataenitoa
kwaio sitaki mapressure kunitia doa.
nachotaka pesa tu nikae poa.
nadhan nimesomeka and no more.
najua nashida zangu na kila mtu anazake.
kwaio simuelezi mtu mambo yang, mtu aliyeshindwa na yake.
ni dua zangu zinafany nipate. so mambo yangu yote mwake.
Random Lyrics
- dygta - pencarianku lyrics
- aaron trooper - the end lyrics
- callejon - dunkelherz lyrics
- nogizaka46 - 急斜面 lyrics
- tony hadley - unwanted lyrics
- silver spoon - oh, mother lyrics
- costee - toivon lyrics
- wagakkiband - 義風乱舞 lyrics
- tobinsco feat. moelogo - education lyrics
- planningtorock - jam of finland lyrics