azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

young killer feat. fid q & belle 9 - hatuna kesi lyrics

Loading...

first of all sina bahati ila poa na isije
kw-ngu safi kwani siku zote naishije
zingua na upigwe
uaibishwe we sitaki
nikupe moyo maana’ke mimi nife we ubaki
sikusoi haki ile inatesa acheni
nasikia aliyegundua pesa pia alikufa na madeni
sa si ujinga wa wazi wa kutumia ngazi chini ya uvungu
wakati hizi surprise kabla hata ya harmonzie na mzungu
okay shotout to all ma friends to become family
hatufanyi mziki wa trend na hii ndo kauli mbiu kamili
na ukifahamu hii hushangai hawa pimbi wakinitukana
ni kawaida kama hizi ndoa za wabibi na vijana
nshakuwa sasa maana kupata ni kutumia
tena hali ya sasa hata kwa buku napata bia
hata supu ukitaka pia
wew mchuchu uliyedata sikia
me naishi kirasta j-po virasta vya kuzugia
kila sehemu hamuoni k-mbe sitaki
ugumu wa game ndo umefanya chameleon amekuwa kalaki
so waambieni hawa watoto wakue waache kucheza
nyimbo zao ambazo ukisema ununue mia tisa inapendeza

oooh green light
unataka hutaki
mkiwaka tunawapa usafi
tuko gudaguda
tena mbele ya wakati
tushapuuza stress hatutaki
hatuna
yeyeyeeee
hatuna
hatuna kesi na yoyoteeee

hakuna superstar bongo leta star wanakunyea
unapgwa dongo unawakataa kwa shombo wanakupondea
choo cha ubongo kwenye makala za umbea
na huu mjadala hata kwa mchongo kwa watu maswala ya kuongea
endelea kupushpush
sio kazi kuuza kush bab
hauwez gushgush
uswazi kuna wazushi mob
town hadi bushbush
uduwanzi haunigusi bab
wahuni tunatustus
hatuhifadhi chuki bab
unatoka chocho chumbaa anaingia kati
dar ya motomoto cha ajabu fire hutumia maji
na roporopo sio haya hujitia ushababi
nyie ni watoto tu mnastahiki juma nyoso uwape unandy
mabingwa wa majungu
na wasiongiza note mif-koni
mbu hapewi sifa kwa kupigwa kofi mgongoni
hip hop misingi kuifuata ni kutafuta njaa?
nishafeli mara nyingi sijaiacha kukata tamaa
nipo kitaa tu na wahuni suti wanainukisha bangi
mafanikio, ni kama chupi hakikisha hawaijui rangi
usawa ukikaba tunalia kwa baba jesca
tunakaza party inajaza hakuna anayetumia pesa



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...