young killer msodoki - happy birthday lyrics
[intro]
eh bwana
(dapro on the track)
happy, happy birthday to you
happy, happy birthday to you
happy, happy birthday to you
happy, happy birthday to you
[verse 1]
today is my birthday
so, i’m happy leo kinoma
nitakula, nitakunywa na nyama nitachoma
napokea gift na ujumbe wa kunishauri nausoma
ukiwa karibu nakuonjesha keki ‘ilivyo nona
leo sitaki ma+stress
leo nata ku+party
leo sitaki ma+snitch
haya, leo sitaki wanafki
mi leo nataka kutoka
leo sitaki kubaki
leo mmemjua nimpendae, basi mpeni nafasi
tusherekee…
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy birthday to me
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
[verse 2]
okay, sorry wote cheers
usishushe chini, tupige picha kwa pamoja tutupie mjini
maisha mafupi afu matamu
na hii ndio siku tuliyo ingoja kwa hamu
happy birthday to me
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
more life, more sucesss, more happy (?) ma+stress)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy birthday to me
[verse 3]
baada ya kutimia saa sita ‘na vi+jidakika
nimeulamba, nimetoka bomba, bomba
yaani nimetoka chicha, napiga vi+picha
watu washaanza kunizonga, zonga
naanza kupokea zawadi
usinimwagie maji
sitaki uchokozi
sitaki uchokozi
mwenzenu, leo siku yangu
waambie washkaji ni furaha
happy birthday to me
happy birthday to me
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy birthday to me
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy birthday to me
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
more life, more sucesss, more happy (?) ma+stress)
happy, happy birthday to you
(kata keki tule)
happy birthday to me
Random Lyrics
- dosii - 춤 (chum) lyrics
- 24 - .саня сухарики पयल lyrics
- the ragshakers - devil's got no shame lyrics
- jeyhun samedov - gözlərin kimi lyrics
- lena d'água - sempre que o amor me quiser (live) lyrics
- otsochodzi - wesołych świąt lyrics
- swelto & nyber - altrove lyrics
- dela tuu - di dojas gratitude lyrics
- lil fucking bitch - bitches on me (interlude) lyrics
- jona (deu) - lieb oder hass mich lyrics